Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Watu wengi waliopo makanisani wataachwa, siku hizi wanawaza hela tu.Rapture is real
Aliyepo shambani asirudi kuchukua vilivyomo nyumbaniWatu wengi waliopo makanisani wataachwa, siku hizi wanawaza hela tu.
Hiyo siku itakuwa kizungumkuti sana kwa wale watakaobaki. Itakuwa siku ya huzuni sana duniani.Aliyepo shambani asirudi kuchukua vilivyomo nyumbani
Leo umenibariki sanaAliyepo shambani asirudi kuchukua vilivyomo nyumbani
AmiinYesu alifufuka siku ya 3 tena masaa yalikua hayajatimia
Miaka buku ni sawa na siku 1 mbinguni
Kabla ya mwaka 3000 haujafika unyakuo utakua tayari
Mungu atupe mwisho mwema!
2 Peter 3:8
Secret rapture is not real, ni mafundisho ya uongo ambayo yapo tofauti kabisa na mafundisho ya Yesu.Rapture is real
Si tuliambiwa Mungu anaujua mwisho wetu kabla hata hatujazaliwaYesu alifufuka siku ya 3 tena masaa yalikua hayajatimia
Miaka buku ni sawa na siku 1 mbinguni
Kabla ya mwaka 3000 haujafika unyakuo utakua tayari
Mungu atupe mwisho mwema!
2 Peter 3:8
Kama ilivyokuwa siku za Nuhu, watu wengi walibeza lakini walikutana na gharika.Hahahahah movie zinakuchanganya
Anyway kwa kuwa tuko jukwaa takatifu tuendelee kuheshima hoja
Na Mimi nina suala langu wanasema ipo siku umeme utakatika ghafla na internet duniani kote je ni kweli na nini kitasababisha power ku off ghafla
Umewahi kusoma Mathayo 24? Vipi kule mtume Paulo kaandika ni kufumba na kufumbua tunabadilishwa na kumlaki Bwana mawinguni?Secret rapture is not real, ni mafundisho ya uongo ambayo yapo tofauti kabisa na mafundisho ya Yesu.
Jambo la muhimu ni kusikiliza sauti inayokuja moyoni mwako unaposikia habari hizi. Kama unaona hazikufai basi ni jambo jema kuzipotezea.Nadharia za kiimani!
Imani zipo nyingi, linalofanya kazi kwako kulingana na imani yako kwa mwenzako halifanyi kazi!