Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Story yako inaboa Bora ungeanzisha tu Uzi wako
 
Hivyo vitu vitatu hata ktk Maisha ya kawaida ukiachilia Mbali Machimboni.. havifai kbs.. hasahasa Pombe na wanawake..

Hivyo vitu vitatu hata ktk Maisha ya kawaida ukiachilia Mbali Machimboni.. havifai kbs.. hasahasa Pombe na wanawake.. Laana.
Imeandikwa katika Biblia Kitabu cha Hosea 4:11 "Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu."

Ndugu unayesoma ujumbe huu nakuomba ikimbie dhambi ya uzinzi/Uasherati, pamoja na Ulevi (divai) jitenge mbali na dhambi hiyo na usifanye dhambi hiyo tena.
Mpokee YESU KRISTO Mwokozi kwa upya, utubu na utengeneze na MUNGU
 
hahahahahahahahaaa mkuu naona umekusudia kunivunja mbavu tena.....yan scene ya huyo kamanda kufunua kwenye neti eti aingie na yeye imenichekesha sana.....halafu nimevuta taswira jamaa alivyomdandia mdogo wake aisee...

Mie pia nilicheka sana.... pale aliposema izo kelele walopiga hazikuwa na mfano.Mie kwenye matukio ya hatari hata sauti huwa siipati, hapo sanasana ningejiziba uso tu nikasubiri khatma [emoji1787]
 
Nitamalizia baadae, kimebaki kisehemu kidogo tu. Sijaona kama hii stori Ina sifa ya kuwa uzi maana si ndefu. Ubize tu na shuguuri za ofisi
Mkuu naomba nikuulize hivi huyo jini alikuaje?, alikua anatisha au alikua na umbo la kibinadamu (usoni)? najua umesema ulikua unamuona mzee means alikua binadamu ila usoni vipi yani alikuaje,
 
mkuu hii story yako ni comedy tosha..
 
Mkuu naomba nikuulize hivi huyo jini alikuaje?, alikua anatisha au alikua na umbo la kibinadamu (usoni)? najua umesema ulikua unamuona mzee means alikua binadamu ila usoni vipi yani alikuaje,
majini wana uwezo wa kujibadili sura kuwa nyoka, binadamu, paka, mbwa mweusi n.k lakini kwa umbo lake humuoni kamwe..
 
hahahaha thubutu yako.....usubiri hatma na unamuona mzee anapangusa miguu anapanda kitandani acha utani wewe...
Mie pia nilicheka sana.... pale aliposema izo kelele walopiga hazikuwa na mfano.Mie kwenye matukio ya hatari hata sauti huwa siipati, hapo sanasana ningejiziba uso tu nikasubiri khatma [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…