Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

[emoji28] Hao viumbe sio poa kabisa, na hivi wengine sisi ni waoga nahisi naweza kuzimia, sasa nikizimia sijui litaniacha au vipi,, hivi kwani jini likikutokea linaweza kukupa kipigo, mfano kukuchapa makofi n.k?
hahahaahaha kabla hajajibu nmeangua kicheko hiyo scenario inanichekesha sana aisee...
Hapo pia nimekuelewa,, kuna jamaa huko juu aliuliza kwanini majini yanapenda kutokea kwenye muonekano wa kiarabu, kwa kua hapa pia umesema alikua anaonekana kwenye muonekano huo naomba utusaidie kutujibu, pili mfano mtu ukawa nae na mahusinao, mka sex je anashika ujauzito? Na kiumbe atazaliwa katika form ipi? ya kibinadamu au itakuaje?
 
hahahaa nimecheka sana....et kukuchapa makofi....nimewahi kuona jamaa amechezea kichapo mpaka akawa bubu hawezi kusema tena.

Ni hivi alikuwa mlevi sasa akachelewa sana kurudi kijijini kwao na kabla hujafika kijijini kuna mto unapitisha maji kuna kadaraja uchwara pale na miti mingi mikubwa sasa usiku pako kimyaaaaa! ni makelele ya wadudu tu na maji ya mto.

Mazingira ya hivyo mara nyingi utaskia kuna hewa ya uvuguvugu au joto hata kama kwingine kuna baridi kali .....sasa turudi kwa jamaa.

yeye alivyofika pale na pombe zake kumbe yale mazingira wanakaa mashetani wa kutosha....jamaa alipigwa mpaka akapoteza uwezo wa kuongea.

kwahyo wanaweza ndio kukudhuru au wakakushika shika kukutisha wakakuacha..



kuhusu huo muonekano wa mwanamke mzuri wa kiarabu sijui wanaupenda kwanini lakini nadhani ni katika kujibadilisha kuwa umbile zuri la kuvutia...mwanamke mweupe nywele mpaka mgongoni, shape nzuri macho makubwa meusi, harufu ya kunukia n.k n.k ..

kuhusu kusex ndio inatokea na victims wameripoti raha ya ajabu na nguvu hazimuishi mwanaume.....upande wa mtoto kuna baadhi ya wagonjwa nimepata kuskia wanasema anaota anasex na mtu yule yule kila akilala na mwisho akaota ni mjamzito hukohuko ndotoni na mwisho akaota amejifungua na baadae akawa ananyonyesha usingizini na mtoto akakua kisha akachukuliwa....yote yanatokea usingizini...

dunia ni zaidi ya tuijuavyo mkuu wangu...
 
Kumbe divai mpya?
 
Kuna wakurungwa wanachamba kwa mifupu? Hao watakua wahuni wa bachu
 
Hahahahaa, 'order' ikitema kuchomoka ni mtiti, labda upate mbanga kama huo. Mi ilintemaga pia kama hivyo ila nkashindwa kuruka kiunzi. Ikabidi nikaripoti Chicago, nlikaa kidogo nkapiganisha kurudi Mgulani
Chicago sio poa. Faraja yangu ilikua ni kambarage beach
 
Wewe ndio mvivu wa kufuatilia, hata huo ataoanzisha utakuwa na Reply kama hukuhuku sio kwamba utakuwa salama. Kifupi utuache wafatiliaji tufatilie
Mimi sio mvivu Ila ujinga wa kuchaganyw Mambo humo humo ni kupoteza lengo, sio kwenye huu Uzi tu hata kwenye maisha kuchaganya Mambo huwa uharibifu, sasa Uzi haueleweki na nime comment baada ya kuona quote yako
 
Misk yakoje mkuu, isije ikawa ndio kama umewapigia bigula wakusanyike nyumbani kwako
 
Asante sana kwa muda wako ulioutumia kunijibu maswali yangu nadhani nimemaliza maswali kwa sasa kama nitapata lingine sitosita kukuuliza kwa maana unaonekana una ufahamu na hayo mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…