[emoji28] Hao viumbe sio poa kabisa, na hivi wengine sisi ni waoga nahisi naweza kuzimia, sasa nikizimia sijui litaniacha au vipi,, hivi kwani jini likikutokea linaweza kukupa kipigo, mfano kukuchapa makofi n.k?Hapo pia nimekuelewa,, kuna jamaa huko juu aliuliza kwanini majini yanapenda kutokea kwenye muonekano wa kiarabu, kwa kua hapa pia umesema alikua anaonekana kwenye muonekano huo naomba utusaidie kutujibu, pili mfano mtu ukawa nae na mahusinao, mka sex je anashika ujauzito? Na kiumbe atazaliwa katika form ipi? ya kibinadamu au itakuaje?