Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

[emoji28] Hao viumbe sio poa kabisa, na hivi wengine sisi ni waoga nahisi naweza kuzimia, sasa nikizimia sijui litaniacha au vipi,, hivi kwani jini likikutokea linaweza kukupa kipigo, mfano kukuchapa makofi n.k?
hahahaahaha kabla hajajibu nmeangua kicheko hiyo scenario inanichekesha sana aisee...
hahaha usijali mkuu..

kilichotokea pale yule ningemkubalia angejitokeza na tungeanza maisha pamoja na alikuwa anakuja usiku kitandani na jirani yangu anamuona ananiambia asubuhi kuna dada wa kiarabu alikuja hapa jana usiku mzuri sana amevaa nguo nyekundu....basi mi najua ni yeye tu naendelea na habari nyingine.....yule alichoka kwasababu hatuendani kabisa na alipata tabu sana kusema na mimi na zaidi aliyeumia ni yule aliyekuwa anapitia kwake ila nilimsaidia na alipata ahueni 99% hiyo moja naweza kuacha percentage of error...
Hapo pia nimekuelewa,, kuna jamaa huko juu aliuliza kwanini majini yanapenda kutokea kwenye muonekano wa kiarabu, kwa kua hapa pia umesema alikua anaonekana kwenye muonekano huo naomba utusaidie kutujibu, pili mfano mtu ukawa nae na mahusinao, mka sex je anashika ujauzito? Na kiumbe atazaliwa katika form ipi? ya kibinadamu au itakuaje?
 
[emoji28] Hao viumbe sio poa kabisa, na hivi wengine sisi ni waoga nahisi naweza kuzimia, sasa nikizimia sijui litaniacha au vipi,, hivi kwani jini likikutokea linaweza kukupa kipigo, mfano kukuchapa makofi n.k?Hapo pia nimekuelewa,, kuna jamaa huko juu aliuliza kwanini majini yanapenda kutokea kwenye muonekano wa kiarabu, kwa kua hapa pia umesema alikua anaonekana kwenye muonekano huo naomba utusaidie kutujibu, pili mfano mtu ukawa nae na mahusinao, mka sex je anashika ujauzito? Na kiumbe atazaliwa katika form ipi? ya kibinadamu au itakuaje?
hahahaa nimecheka sana....et kukuchapa makofi....nimewahi kuona jamaa amechezea kichapo mpaka akawa bubu hawezi kusema tena.

Ni hivi alikuwa mlevi sasa akachelewa sana kurudi kijijini kwao na kabla hujafika kijijini kuna mto unapitisha maji kuna kadaraja uchwara pale na miti mingi mikubwa sasa usiku pako kimyaaaaa! ni makelele ya wadudu tu na maji ya mto.

Mazingira ya hivyo mara nyingi utaskia kuna hewa ya uvuguvugu au joto hata kama kwingine kuna baridi kali .....sasa turudi kwa jamaa.

yeye alivyofika pale na pombe zake kumbe yale mazingira wanakaa mashetani wa kutosha....jamaa alipigwa mpaka akapoteza uwezo wa kuongea.

kwahyo wanaweza ndio kukudhuru au wakakushika shika kukutisha wakakuacha..



kuhusu huo muonekano wa mwanamke mzuri wa kiarabu sijui wanaupenda kwanini lakini nadhani ni katika kujibadilisha kuwa umbile zuri la kuvutia...mwanamke mweupe nywele mpaka mgongoni, shape nzuri macho makubwa meusi, harufu ya kunukia n.k n.k ..

kuhusu kusex ndio inatokea na victims wameripoti raha ya ajabu na nguvu hazimuishi mwanaume.....upande wa mtoto kuna baadhi ya wagonjwa nimepata kuskia wanasema anaota anasex na mtu yule yule kila akilala na mwisho akaota ni mjamzito hukohuko ndotoni na mwisho akaota amejifungua na baadae akawa ananyonyesha usingizini na mtoto akakua kisha akachukuliwa....yote yanatokea usingizini...

dunia ni zaidi ya tuijuavyo mkuu wangu...
 
Imeandikwa katika Biblia Kitabu cha Hosea 4:11 "Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu."

Ndugu unayesoma ujumbe huu nakuomba ikimbie dhambi ya uzinzi/Uasherati, pamoja na Ulevi (divai) jitenge mbali na dhambi hiyo na usifanye dhambi hiyo tena.
Mpokee YESU KRISTO Mwokozi kwa upya, utubu na utengeneze na MUNGU
Kumbe divai mpya?
 
mbwa mweusi tiiiiiii au paka mweusi tiiiiiii! halafu unakutana nae mazingira hatarishi by the way sio rahisi sana kugundua au nyoka akiingia ndani ndio maana kuna utaratibu wa kusema nae ujue ni nyoka au laa....umewahi kuskia mtu amemkuta nyoka ndani akamwambia naomba utoke akashangaa anatoka zake.....huyo sio nyoka bali ni jini...
nyoka wa kawaida hatoskia bali atataka kujihami..
na zaidi mkuu kwenye maisha tusitumie mifupa na vinyesi vya wanyama kujisafisha baada ya kujisaidia {kesi za porini n.k} kwani hivyo ni vyakula vya majini..
shukran..
Kuna wakurungwa wanachamba kwa mifupu? Hao watakua wahuni wa bachu
 
Hahahahaa, 'order' ikitema kuchomoka ni mtiti, labda upate mbanga kama huo. Mi ilintemaga pia kama hivyo ila nkashindwa kuruka kiunzi. Ikabidi nikaripoti Chicago, nlikaa kidogo nkapiganisha kurudi Mgulani
Chicago sio poa. Faraja yangu ilikua ni kambarage beach
 
Wewe ndio mvivu wa kufuatilia, hata huo ataoanzisha utakuwa na Reply kama hukuhuku sio kwamba utakuwa salama. Kifupi utuache wafatiliaji tufatilie
Mimi sio mvivu Ila ujinga wa kuchaganyw Mambo humo humo ni kupoteza lengo, sio kwenye huu Uzi tu hata kwenye maisha kuchaganya Mambo huwa uharibifu, sasa Uzi haueleweki na nime comment baada ya kuona quote yako
 
Duuh...

Pole sana ukhty...that was really a havoc....evil spirits are rampant in our houses yaani bora mkautafuta huo msaada....

Dua na visomo nyumbani kila baada ya muda kupita ni muhimu....

Wakati wa kulala nyinyi ama hata kids unaweza kuwapaka mafuta ya "misk" kama haiwasumbui(allergies)....

Usiache kutumia MREHANI(kivumbasi) na chumvi ya mawe katika kuoga mara mojamoja...

Nyumbani kwako kama una space panda MKUNAZI...."hawaupendi".
Misk yakoje mkuu, isije ikawa ndio kama umewapigia bigula wakusanyike nyumbani kwako
 
hahahaa nimecheka sana....et kukuchapa makofi....nimewahi kuona jamaa amechezea kichapo mpaka akawa bubu hawezi kusema tena.....ni hivi alikuwa mlevi sasa akachelewa sana kurudi kijijini kwao na kabla hujafika kijijini kuna mto unapitisha maji kuna kadaraja uchwara pale na miti mingi mikubwa sasa usiku pako kimyaaaaa! ni makelele ya wadudu tu na maji ya mto....mazingira ya hivyo mara nyingi utaskia kuna hewa ya uvuguvugu au joto hata kama kwingine kuna baridi kali .....sasa turudi kwa jamaa..
yeye alivyofika pale na pombe zake kumbe yale mazingira wanakaa mashetani wa kutosha....jamaa alipigwa mpaka akapoteza uwezo wa kuongea..
kwahyo wanaweza ndio kukudhuru au wakakushika shika kukutisha wakakuacha..



kuhusu huo muonekano wa mwanamke mzuri wa kiarabu sijui wanaupenda kwanini lakini nadhani ni katika kujibadilisha kuwa umbile zuri la kuvutia...mwanamke mweupe nywele mpaka mgongoni, shape nzuri macho makubwa meusi, harufu ya kunukia n.k n.k ..

kuhusu kusex ndio inatokea na victims wameripoti raha ya ajabu na nguvu hazimuishi mwanaume.....upande wa mtoto kuna baadhi ya wagonjwa nimepata kuskia wanasema anaota anasex na mtu yule yule kila akilala na mwisho akaota ni mjamzito hukohuko ndotoni na mwisho akaota amejifungua na baadae akawa ananyonyesha usingizini na mtoto akakua kisha akachukuliwa....yote yanatokea usingizini...

dunia ni zaidi ya tuijuavyo mkuu wangu...
Asante sana kwa muda wako ulioutumia kunijibu maswali yangu nadhani nimemaliza maswali kwa sasa kama nitapata lingine sitosita kukuuliza kwa maana unaonekana una ufahamu na hayo mambo.
 
Back
Top Bottom