kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Leta vitu mzee, muda ndo huuMkuu maisha yetu yenyewe ni kama movie vile, tabu kuunganisha story na kwenda kuwauzia watengeneza movies tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta vitu mzee, muda ndo huuMkuu maisha yetu yenyewe ni kama movie vile, tabu kuunganisha story na kwenda kuwauzia watengeneza movies tu.
Sema mkuu wa kimwekumweku mi naona afadhali ungeandika kwanza ukimaliza ndio ujibu comment ili tuokoe mudaBampa tu Bampa.
Unamaanisha John Mafuguli?Mungu si John wala Kasim, akaonyesha makudula yake.
Ukisikia mwendo wa ngiri ndo huuUmeanza kupozi mapema sana jomba. Utamaliza kweli stori yako kwa mwendo huu? Wenzako huwa wanavuta vuta kidogo kabla ya kuturusha roho
[emoji23][emoji23][emoji23]usiku huu mkuu raia wanakutembelea tuPamoja mkuu.
Napenda sana niandike mara moja tu na story iwe ime kwisha, tatizo raia huwa hazichelewi kunitembelea, hivyo najikuta nakatisha story namalizana nao kwanza.
Kwa dunia hii ya utafutaji wa pesa hiii naamini ni stori ya kweli watu tunapitia mengi sana ktk dunia hii.Mkuu hii ilitokea kweli? Mbona kama movie jombaa?
Mkuu ulitaka aiwekaje ingekua kitonga si angekua anaipaste tu! imagine unasimulia wewe kuna changamoto ya upangaji matukio kumbuka.! ange simulia imradi usinge ipenda hata wewe.nilichogundua jamaa ana i copy mahali ana paste huku kuna mahali itakua inasimuliwa so na yeye anapata kitonga hapo hapo all in all story nzuri