Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Uzuri Kitoabu huwa anamalizia stori zake hata kama zitachukua muda
Hiyo ya vimwekumweku pia tuliivumilia hadi akamaliza

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yeah nakumbuka mkuu, tunajifunza mengi kuhusu uchimbaji mdogo mdogo wa madini na maswahibu yake. Kama huna moyo wa kiume huwezi kumaliza mwezi eneo kama hilo bila kunyosha mikono juu.
 
Haya machimbo ya kuibuka tu wanayaita RUSH..

Yani mzigo ukisoma ndani ya masaa mawili huezi amini kama lilikua pori utakuta Gest, baa, malaya washatimba, mama ntilie, soko, maduka na kila kitu....

Na ndani ya masaa kadhaa pia unaweza kupakuta peupe likiibuka chimbo jipya linalotema.... Watu wa GEITA wanayajua haya mazingira na rush ikidumu miaka minne vijiji vya pembeni kutakua nawatoto wengi balaaaaaa na hawana baba na hawa hua hawaendi shule....
umenikumbusha rush... ya karenge kigoma, kwenye mgodi wa dhahabu sitasahau niliyoyakuta huko, watu wengi hata kupishana ni shida, halafu niko peke yangu simjui mtu,
 
😂😂😂

Hata Mimi ninajiuliza swali hilo na amesema kwamba walipo rudi porini walikuwa wakizipekua maiti na kupata madonge ya dhahabu,Sasa hizo dhahabu hazikutosha kuwatajirisha?vinginevyo hii ni hadithi ya kutunga.

Huwezi kuelewa haya mambo mpaka aidha usimuliwe au uwe ushayafanya

Huko kwenye machimbo sio kwamba hatupati hela. Hii migao ya mil 10, mil 20 au 30 ya kutosha tu. Ukiwa mjanja unarudi home unafanya maendeleo kidogo nyingine unaisambaza kwa bats baada ya muda unarudi tena kuchimba

Yaan inakua in mzunguko huo ni wa chache wameweza kuacha kabisa kuchimba na kukomaa home na biashara kwakua unajua kabisa ukienda kule utapata hela nyingi kwa mkupuo. Na kuzitumia pia zinatumika hivyo hivyo kwa mkupuo. Sio kwamba anatunga na sidhani kama hajawahi kupata chenji chenji za mil 10 huko kwenye rubi kwa miaka yote hii anasema toka 2013
 
Attachments

  • IMG_20190830_112853.jpg
    IMG_20190830_112853.jpg
    152.9 KB · Views: 88
mkuu hapo tumeisoma namba sana.....mimi nimepambana migodi mingi tumelala nje maporini saaana.....kuna pori moja tuliwahi kwenda baada ya kuskia mlio ebwana kulikuwa na baridi kali njombe kukasome.....kiasi kwamba baridi ya pale jamaa tunalala tunapangana kama 7 hivi miguu inaelekea porini vichakani....sasa ukali wa ile baridi mpaka mtu anaota anavutwa miguu na fisi.....unashangaa mmelala usiku wa manane mtu anaamka anapiga yowe "yalaaaaaaaah fisiiiii" yan ananyanyuka watu wote wanaamka wanasimama wanasukumana oya nini nini! huku wametupa mashuka af aliyepiga kelele kumbe yuko usingizini anarudi kulala na haelewi kilichotokea....basi hapo hakuna kulala tena..
geomex
 
Ishubya machimbo huwezi kuilewa mpaka hi uwe karibu na hayo maeneo hawa jamaa wanapata hela sanaaa.....

Sasa kuna muda mlio unatokea kwenye shamba la mtu unakuta hata heka 50 ni ya mtu anaamua watu wafanye yao na wana mmpa %kadhaa kwa kila kiwango fulani cha mawe (kesi ya dhahabu naongelea hapa)
Sasa hapa unakuta eneo lote lina maduara kama 15 active na yanatoa mzigo wa maana ila utamkuta mwenye shamba kalewa kuanzia asubuhi mpaka jioni anasubiri share tu...

Na kipindi hiki mlio ukiita tu SERIKALI ishatia timu ni mwendo wa mirabaha tu 😂😂😂😂 wanamaindi kinoma.
 
Asante bro
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata Mimi ninajiuliza swali hilo na amesema kwamba walipo rudi porini walikuwa wakizipekua maiti na kupata madonge ya dhahabu,Sasa hizo dhahabu hazikutosha kuwatajirisha?vinginevyo hii ni hadithi ya kutunga.

Lakini yeye si anasimulia story ya 2015!!!? Anaandika saivi lkn ni mambo yaliotokea miaka ya nyuma................ Ila hadi sasa yupo migodini na hilo tukio la ajali ya mwenzao kupigwa shoka imetokea jana so kashindwa kutuandikia muendelezo wa story... Au mie ndio sijaelewa!!!???
 
kweli hata mm kanitoa mbali nikidhani ni CHAI mana katuambia ni 2015 lkn kwa sasa hawezi andika jamaa yake kapigwa shoka na mrundi, mm nahisi huyu jamaa ni mchimbaji mpaka leo kutokana na stori nyingine ya nyuma
Lakini yeye si anasimulia story ya 2015!!!? Anaandika saivi lkn ni mambo yaliotokea miaka ya nyuma................ Ila hadi sasa yupo migodini na hilo tukio la ajali ya mwenzao kupigwa shoka imetokea jana so kashindwa kutuandikia muendelezo wa story... Au mie ndio sijaelewa!!!???
 
Kwani dragon ni pombe mkuu?au hujui chochote?
Kweli sikujua Dragon sio Kilevi naomba nisaidie hapo walikunywa kitu gani?

Tukamvua nguo zote (kwa tahadhari ya hali ya juu) hapa tukamkuta na donge la dhahabu kwenye kipochi kidogo cha shingoni, ila marehem alikua kakivaa kiunoni.

Uwezi amini huyu marehem alikufa na biashara yake ikiwa imejaa.

Nakumbuka tulibeba Dragon baadhi ya kasha na kwenda kunywa mbele (hapa tuliapa hakuna mtu kugusa pombe )

cc Kitoabu
1605107080035.png
 
Back
Top Bottom