Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Wanaume kazini.
FB_IMG_1575821317052.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata Mimi ninajiuliza swali hilo na amesema kwamba walipo rudi porini walikuwa wakizipekua maiti na kupata madonge ya dhahabu,Sasa hizo dhahabu hazikutosha kuwatajirisha?vinginevyo hii ni hadithi ya kutunga.
Mkuu yale maisha ya ajabu mno uwezi amini unaweza pata na usiondoke kabisa.
 
Ulimpenda sana?
Kwanini?
Ni mdogo wangu ambae alikua hapingi.
Ukizingatia wote ni watoto wa Tandika.
Ni mkabila mwenzangu.
Yani huwezi amini tulitambulisha mpaka kijijini kwetu ni pamoja.
Kwanza hiyo picha nimeitoa kwenye picha nilizo wahi zi post Facebook miaka minne nyuma.

Nilimpenda mungu kampenda zaidi.
 
Back
Top Bottom