Tukiri kwamba katika mfumo wa muungano uliopo, inawezekana raisi kutoka Zanzibar akafanya kazi kwa maslahi ya Zanzibar zaidi ya bara au ya muungano

Tukiri kwamba katika mfumo wa muungano uliopo, inawezekana raisi kutoka Zanzibar akafanya kazi kwa maslahi ya Zanzibar zaidi ya bara au ya muungano

Mkuu, siku hizi ukiongea mambo kama haya unaitwa mbaguzi......wengine tumeamua kujikalia kimya.
 
I mean kwa nini mko soooo obsessed na zanzibar? Its a mere 2500 square km wakati bara ni more than 900 000 sqkm, sasa iweje bado mnalia lia?
Umewahi kujiuliza ni Watanganyika wangapi wanautaka muungano? Usije ukafanya kosa kudhani maoni ya viongozi wa serikali ni maoni ya wananchi, japo viongozi wa serikali wanasema wanachaguliwa na wananchi. Ingekuwa hilo ni kweli DP World ingekufa kifo cha ghafla.

Jiulize, kwa nini serikali haitaki kufanyike referandum for or against muungano?
 
Kwa sababu Looser atakuwa Tanganyika hasa economically
 
tatizo kubwa ni umaskini na low IQ ambapo vyote vinategemeana kwa upande wa bara.
Maana yake nini hapa logically?
I mean kwa nini mko soooo obsessed na zanzibar? Its a mere 2500 square km wakati bara ni more than 900 000 sqkm, sasa iweje bado mnalia lia?
No body is obsessed with Zanzibar as a part of its own territory of land..

Everybody is obsessed and annoyed na mtu raia wa nchi nyingine iitwayo Zanzibar kuwa kiongozi mkuu (Rais) wa taifa/nchi nyingine kwa kigezo cha eti "tuko kwenye Muungano"
Muungano wa Uingereza UK ni copy & paste ya muungano wetu lkn huwezi sikia mtu wa englanda anali lia kutawaliwa na scotlanda, unajua kwa nini ? ila kwetu watu milioni 50 wanaliloa hakia ya kwenda kuishi kwenye kisiwa cha sqkm 2 000 , shida ni IQ ndogo ya wabara …
Mwongo wewe au hujui lolote..

Muungano wa "THE GREAT BRITAIN" is not a copy and paste ya Muungano wetu hata kidogo tu..!

Jiulize: Kwamba, kati ya washirika wa Muungano wa The Great Britain, kuna aliyepoteza identity ya utaifa wake? Vipi hapa Tanganyika na Zanzibar? Tanganyika iko wapi?

Umeelewa sasa kuwa your understanding is quite wrong?
 
Mkuu, siku hizi ukiongea mambo kama haya unaitwa mbaguzi......wengine tumeamua kujikalia kimya.
Sasa nikijua mie nina weusi wa kule kwetu Musoma, na mtu akaniambia mie ni mweusi nikasema hapana mie ni mweupe, inawezekana ni kwa kuwa siku zote nikiwa Musoma naonwa kuwa mweupe. Inabidi unifafanulie kwamba nikiwa Dar reference sio watu wa Musoma tena!
 
Umewahi kujiuliza ni Watanganyika wangapi wanautaka muungano? Usije ukafanya kosa kudhani maoni ya viongozi wa serikali ni maoni ya wananchi, japo viongozi wa serikali wanasema wanachaguliwa na wananchi. Ingekuwa hilo ni kweli DP World ingekufa kifo cha ghafla.

Jiulize, kwa nini serikali haitaki kufanyike referandum for or against muungano?

tatizo kubwa ni kwamba bara hawajui what to with over 900 000 sq km of land na ndio maana wote wanataka kujazana Zanzibar, wanataka kugombania ajira na wanzanzibari kwa sababu bara hwameshindwa kucreate employement for its people pamoja na kuwa na (karibia) kila kitu.

muungano hata ukifa leo bado bara itabakia backwards na hata watalilia kupewa viza kwenda kufanya kazi zanzibar.

hivyo tatizo liko bara, kuna mito, maziwa , mabonde yenye rutuba bahari coast line peke yake ktk tanga mpaka mtwara ni karibia 1500 km, kama ni utalii mna mlima mrefu afrika, visiwa pia vipo kama mafia, kama ni miji mikongwe ipo kilwa, mikindani, hata ujiiji kigoma na tanga sasa iweje mlilie kuwa na haki sawa na mbilikimo zanzibar yenye sq km 2000?
 
Kwa sababu Looser atakuwa Tanganyika hasa economically
Inawezekana, ila kuna sababu chache sana za kuthibitisha hilo, kwa sababu Zanzibar wana vyanzo vichache sana vya mapatao. Hata mishahara inabidi wasaidiwe na bara, bill ya umeme ya Tanesco wanashindwa kulipa, Magufuli alihalalisha wakatiwe umeme ikaleta mgogoro mkubwa. Zanzibar wanachoamnini ni kwamba muungano ukivunjia itakuwa rahisi kwao kusaidiwa moja kwa moja na nchi za uarabuni, kitu ambacho kitawaletea maendeleo ya haraka. Ila nawaonya Zanzibar wasisahau kwamba mwanamke ni mzuri akiwa bado kwa mume wake. Akiachika hana uzuri tena. As long as Zanzibar ni mke katika muungano (tunachukulia bara ni mkubwa zaidi basi ndio mume) basi anaonekana mzuri kwa kina Oman, UAE, Saudi Arabia nk. Akiachika huo uzuri hautakuwapo tena, kutokana na yatakayotokea ndani ya Zanzibar bila kuwa ndani ya muungano
 
Inawezekana, ila kuna sababu chache sana za kuthibitisha hilo, kwa sababu Zanzibar wana vyanzo vichache sana vya mapatao. Hata mishahara inabidi wasaidiwe na bara, bill ya umeme ya Tanesco wanashindwa kulipa. Zanzibar wanachoamnini ni kwamba muungano ukivunjia itakuwa rahisi kwao kusaidiwa moja kwa moja na nchi za uarabuni, kitu ambacho kitawaletea maendeleo ya haraka. Ila nawaonya Zanzibar wasisahau kwamba mwanamke ni mzuri akiwa bado kwa mume wake. Akiachika hana uzuri tena. As long as Zazibar ni mke katika muungano (tunachukulia bara ni mkubwa zaidi basi ndio mume) basi anaonekana mzuri kwa kina Oman, UAE, Saudi Arabia nk. Akiachika huo uzuri hautakuwapo tena, kutokana na yatakayotokea ndani ya Zanzibar bila kuwa ndani ya muungano
Unanidanganya Mimi au nyumbu wenzako? Nikuwekee makusanyo ya Zanzibar plus pesa ambazo TRA inavunjaekutoka Zenye harafu na Bajeti ya Zanzibar?
 
Maana yake nini hapa logically?

No body is obsessed with Zanzibar as a part of its own territory of land..

Everybody is obsessed and annoyed na mtu raia wa nchi nyingine iitwayo Zanzibar kuwa kiongozi mkuu (Rais) wa taifa/nchi nyingine kwa kigezo cha eti "tuko kwenye Muungano"

Mwongo wewe au hujui lolote..

Muungano wa "THE GREAT BRITAIN" is not a copy and paste ya Muungano wetu hata kidogo tu..!

Jiulize swali moja tu la msingi kuji prove mwenyewe kuwa u mwongo au hujui usemalo ktk hili la Muungano wa The Great Britain na huu wa kwetu wa Tanganyika & Zanzibar..

Kwamba, kati ya washirika wa Muungano wa Britain, kuna aliyepoteza identity ya utaifa lake? Vipi hapa Tanganyika na Zanzibar? Tanganyika iko wapi?

Umeelewa sasa kuwa you are a liar?

muungano wa UK (england, scotland, wales na north ireland) hauna tofauti na muungano wetu, hata idea ilitoka huko Mwalimu Nyerere alipokuwa mwanafunzi scotland.

mkiwa na misingi mizuri haitajalisha raisi katokea wapi things will just work au unafikiri wewe tuseme leo hii upewe urais i wa ufaransa utaweza kufanya unachotaka na kuiuza ufaransa, kugawa misitu yake kwa foreigners, kufukuza wananchi kwenye ardhi yao kupisha foreigner, kuzima umeme na kukata maji utakavyo kama muifanyiavyo nchi yenu?

hivyo tatizo siyo mtawala katokea wapi bali aina ya jamii husika ndiyo tatizo …
 
Unanidanganya Mimi au nyumbu wenzako? Nikuwekee makusanyo ya Zanzibar plus pesa ambazo TRA inavunjaekutoka Zenye harafu na Bajeti ya Zanzibar?
Hili sio suala la imani, ni realities. Sasa kama una namba kuthibitisha unalosema weka hapa tuone.

Zanzibar inayoshindwa kulipia wafanya kazi mishahara itawezaje kuwa inaipa bara fedha? Wabunge wote wa Zanzibar wanalipwa na serikali ya muungano, na kimsingi 97% ya fedha ya serikali ya muungano inatokana na mapato ya bara. Zanzibar inachangia theoretically

Anyway, tusitoke nje ya mada, hayo ni mambo madogo ni watu wasio na akili ndio watabishania
 
BINADAMU anaweza kujitahidi kutenda Kwa usawa lakini roho ya ubinafsi lazima iatakuwepo ndani mwake hapo upendeleo lazima huinuke na kusababisha kuvutia ngozi upande wake/Kwa watu wake Kwa kiasi Fulani.

Mfano tu wa Raisi ata akitoka huku Tanganyika utasikia anapendelea kwao(Kanda aliyozaliwa,mkoa,wilaya), haitokuwa zaid Kwa vipande vya ardhi vilivyo tenganishwa na bahari na huko mwanzo vilijulikana ni nchi mbili tofauti lakini zenye kukaribiana tamaduni ,ustaarabu wetu pia unaoneka sio mzuri Malalamishi ya wizi,ufisadi na umimi wachinichini ni mwingi mno vyote vinahatarisha muungaona(Inaonekana MUUNGANO Hauna nguvu ya ushawishi mkubwa ukilinganisha na miungano kama Germany,USA,China,Urusi)

Kunabahdhi ya watu Huwa wanasema tukitengana na Zanzibar kutakuwa na hatari ya ugaidi kwamba Zanzibar itumike kuisumbua Tanganyika mfano🙁Taiwani na china,{Cuba na Marekani kipindi Cha cold war}) na ukizingatia kipindi Cha miaka hiyo ya muungano Tanganyika chini ya Mwl Nyerere ili husudu Socialism lakini mbona Ukraine inaisumbua Urusi,Uturuki Ili tumika kama pandikizi la Marekani Kwa Union of Soviet kipindi Cha cold war na sio visiwa,Kenya ama Rwanda haiwezi kutumika kuisumbua Tanganyika? Au hofu ni kwamba Zanzibar ndo njia rahisi sana. Ama anayetaka kuisumbua Tanganyika hawezi akafanya vuguvugu kama lililopo DR Congo,Houth ndani ya Yemeni,Al Shababu-Somalia au Bokoharamu -Nigeria
 
Kweli kabisa. Kulikuwa na sababu za msingi enzi za Nyerere kuifanya Zanzibar kuwa sehemu ya Tanzania kwa kuwa Tanzania ilijihusisha sana na masuala ya kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika. Wakati huo makaburu wangeweza kuichukua Zanzibar kimabavu na kuikalia, na hili lingehatarisha usalama wa Tanganyika. Lakini katika dunia ya sasa Zanzibar haina tena strategic security significance kwa Tanganyika. Hatuna geopolitical enemies tena. Muungano ukivunjika ni sawa tu, na Zanzibar wakitaka wawe sehemu ya Oman ni sawa pia, haituhusu.
 
tatizo kubwa ni kwamba bara hawajui what to with over 900 000 sq km of land na ndio maana wote wanataka kujazana Zanzibar, wanataka kugombania ajira na wanzanzibari kwa sababu bara hwameshindwa kucreate employement for its people pamoja na kuwa na (karibia) kila kitu.
Ikiwa ajira zilizoko Zanzibar haziwatoshi Wazanzibar inabidi waajiriwe bara, ni vipi Watanzania bara waje kugombania ajira Zanzibar? Katika maraisi wote wa Tanzania, Samia anaongoza kwa kutoa ajira kwa Wazanzibar huku bara, kwa kuwa hakuna ajira Zanzibar za kuwatosha graduates wa Zanzibar. Samia ndio amepitisha wazanzibar kuajiriwa bara hata katika maeneo ambayo huko nyuma hawakuwahi kuajiriwa, kwa sababu maeneo hayo yalionekana yanaihusu Tanzania bara. Mtazamo wa Samia ni kwamba kitu chochote cha bara ni sehemu ya muungano ambacho wazanzibar wana haki nacho - japo anajua kuwa kitu cha Zanzibar watu wa bara hawana haki nacho. Kwa hiyo inaonekana tuna mazingira ya kuzuia ukosefu wa ajira Zanzibar, lakini sio Tanzania bara, ambako inaonekana ni sawa tu ikiwa vijana hawana ajira kwa kisingizio eti kuna fursa zaidi bara za kujiajiri kuliko visiwani. Nani anasema, mtu wa bara? Fanya utafiti uone unemployment rate ya bara na ya visiwani utaona mchezo unaofanyika.

Au unaongelea ajira gani, ulinzi wanaofanya Wamasai huko Zanzibar?
 
👉Muungano huu hauna maisha marefu kuanzia sasa Kwa sababu ni Muungano wa kilaghai usiobebwa na utashi wa wananchi wote wa nchi hizi mbili..!
Ndicho nilichosema. Kama inajulikana muungano utavunjika baada ya muda mfupi, na ukamuweka madarakani mtu wa visiwani kuwa raisi na yeye akijua muungano utavunjika baada ya muda mfupi, basi hilo ni kosa kubwa sana la kujutia kwa upande wa watu wa bara! Kumbuka, tuna muungano ambao unaruhusu mikataba kati ya Tanzania na Zanzibar, na mikataba hiyo ipo. Sijui kama unajua hilo?

Ni raisi wa namna gani anaruhusu amri katika sehemu ya nchi anayotawala inayosema leseni ya udereva ya Jamhuri ya Tanzania hairuhusiwi kutumika Zanzibar hadi uwe na kibali cha kuitumia? Huo ni uhaini kwa upande wa Zanzibar. Ninaendesha gari Kenya Uganda nk na leseni ya Tanzania bila tatizo, lakini leseni hiyo isikubalike Zanzibar ambayo ni Tanzania, unaona kuna akili timamu hapo?

Kuna mambo mengi ambayo yanafanywa sasa hivi na Zanzibar yanapaswa kuonwa ni uhaini dhidi ya Tanzania, lakini serikali ya muungano ipo kimya tu.
 
Ikiwa ajira zilizoko Zanzibar haziwatoshi Wazanzibar inabidi waajiriwe bara, ni vipi Watanzania bara waje kugombania ajira Zanzibar? Katika maraisi wote wa Tanzania, Samia anaongoza kwa kutoa kwa Wazanzibar bara kwa kuwa hakuna ajira Zanzibar za kuwatosha graduates wa Zanzibar. Samia ndio amepitisha wazanzibar kuajiriwa bara hata katika maeneo ambayo huko nyuma hawakuwahi kuajiriwa, kwa sababu maeneo hayo yalionekana yanaihusu Tanzania bara. Mtazamo wa Samia ni kwamba kitu chochote cha bara ni sehemu ya muungano ambacho wazanzibar wana haki nacho - japo anajua kuwa kitu cha Zanzibar watu wa bara hawana haki nacho. Kwa hiyo inaonekana tuna mazingira ya kuzuia ukosefu wa ajira Zanzibar, lakini sio Tanzania bara, ambako inaonekana ni sawa tu ikiwa vijana hawana ajira kwa kisingizio eti kuna fursa zaidi bara za kujiajiri kuliko visiwani. Nani anasema, mtu wa bara? Fanya utafiti uwone rate za kukosekana ajira bara na visiwani utaona mchezo unaofanyika.

Au unaongelea ajira gani, ulinzi wanaofanya Wamasai huko Zanzibar?

the fact that hata tu unajaribu ku compete na kanchi kama zanzibar says a lot, tanzagiza wanaogopa kila mtu na kila kitu hata tu rwanda wanawaogopa mpaka mkuu wao wa jeshi anaongea, wanaogopa hata tu burundi, wanaogopa wakenya wanaogopa hata wanzanzibari, i mean zanzibar ina watu wangapi hata iwe tishio kwa ajira za wabara?

tatizo liko bara ni failure ya kila kitu na ndiyo maana hata mnaohofia hata zanzibar …
 
Kelele ni katiba mbovu tuliyonayo ambayo haiwezi kumwajibisha anapofisidi nchi!
Sio katiba tu. Zanzibar na Tanzania bara ni nchi mbili tofauti zenye tamaduni tofauti. Afadhali Tanganyika ingeungana na Kenya na Uganda kuliko Zanzibar

1706803673626.png
 
the fact that hata tu unajaribu ku compete na kanchi kama zanzibar says a lot, tanzagiza wanaogopa kila mtu na kila kitu hata tu rwanda wanawaogopa mpaka mkuu wao wa jeshi anaongea, wanaogopa hata tu burundi, wanaogopa wakenya wanaogopa hata wanzanzibari, i mean zanzibar ina watu wangapi hata iwe tishio kwa ajira za wabara?

tatizo liko bara ni failure ya kila kitu na ndiyo maana hata mnaohofia hata zanzibar …
Usiwe selective kwenye suala la size, maana tukisema hivyo itafikia hata tuseme idadi ya wabunge iendane kwa idadi ya watu au ukubwa wa aneo. Tukisawazisha kwa namna hiyo Zanzibar watalia sana. Kumbuka zaidi ya 80% ya mikoa ya bara ina eneo kubwa kuliko Zanzibar na Pemba kwa pamoja
 
Back
Top Bottom