Tukiri kwamba katika mfumo wa muungano uliopo, inawezekana raisi kutoka Zanzibar akafanya kazi kwa maslahi ya Zanzibar zaidi ya bara au ya muungano

Mzee Mwinyi ni Mtanganyika mwenzetu, kuhusu lafudhi hata wewe unaweza kuongea lafudhi ya US kumbe kwenu ni Tandahimba
Zanzibar walivyo jeuri wasingekubali Mwinyi awe raisi Zanzibar kama Mwinyi angekuwa mtu wa bara. Walikataa Salim kuwa raisi wa Tanzania japo ni mzanzibar mwenzao wakamkubali mtu wa bara awe raisi wao!
 
Umeandika ukweli mtupu. Kila Nchi ijitegeme.
 
Zanzibar walivyo jeuri wasingekubali Mwinyi awe raisi Zanzibar kama Mwinyi angekuwa mtu wa bara. Walikataa Salim kuwa raisi wa Tanzania japo ni mzanzibar mwenzao wakamkubali mtu wa bara awe raisi wao!
Mwinyi ni mbara mwenzetu huu ndio ukweli, wakubali au wakatae wao hawana nguvu ya kuzuia kila jambo linapangwa dodoma
 
Muungano wowote ni wanchi nasio watu wawili na usemayo mengine ni matokeo ya watu wawili tu kuwaamulia mabwege
 
Samia anafanya mambo mengi makubwa sana Zanzibar akimaliza miaka yake 10 Zanzibar itakuwa mbali mno maana anajua nafas kama hii( Rais wa Tanzania na Zanzibar wote ni kutoka zazibar) haitatokea maisha
 
Samia anafanya mambo mengi makubwa sana Zanzibar akimaliza miaka yake 10 Zanzibar itakuwa mbali mno maana anajua nafas kama hii( Rais wa Tanzania na Zanzibar wote ni kutoka zazibar) haitatokea maisha
Umeongea post yangu yate katika sentensi moja. Uko vizuri sana
 
Tatizo kubwa linatokana na sisi Watanganyika kukubali kupoteza Tanganyika yetu na kuhadaika kuwa Nchi yetu ni Tanzania Bara.

Tushtuke Watanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…