Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

Mfungo sio kwajili ya tumbo bali ni imani, siwezi kushangaa mtu kama wewe ukilalamika ukiona watu wakila hadharani, ni kwamba umefungia tumbo sio imani
Tunaambiwa tofauti ya funga zetu na zao ni "kula daku"
Hivyo hicho mdo kiko tofauti na funga sio adhabu ni namna ya Allah s.w anataka kuona vile waja wake wanamtii kt maagizo yake hvyo hata kubadilisha ratiba ya kula ni sawa ila kwa ajili ya Allah s w tunabadili
 
Hauna akili ,sasa jamaa wako mmoja ndio kielelezo Cha umma wote ?
 
Siyo kwamba tunawaonea wivu waislam? Maana wao wanaheshimu funga yao kuliko sisi wakristo ambao huwa hatufungi kabisa tunaenda kupaka majivu tu.

Aliejitahidi sana kufunga anachagua kufunga kula kitu kimoja anakwambia kafunga kula kachori.
Wakristo hawafingi kwa show off
Kwenye ukristo ukifunga hata jirani yako anatakiwa asijue ndo maana unaona kama hawafungi ila wanafunga sana kisirisiri

Kwenye ukristo swala la kufunga sio PR kama ilivyo kwenye uislamu
 
Watu kama mleta mada hapa Jf wanaokuja na kuondoka hawadumu na walikuwepo wengi sana ambayo kazi Yao ilikuwa kuandika mada ambazo wahahisi watawakera waislamu na kuudhohofisha Uislamu.

Matokeo wanatumia muda wao mwingi na nguvu kubwa bila Faida wakati uislamu ukizidi kusonga mbele.

Yuko wapi Execute Citizen B Championship Maghayo na wengine ambao walikuwa na kazi Moja tu kukashifu Uislamu sasa wapo wapi ? halafu Wagalatia mtindo huo wamechukulia kama fasheni ya kutaka umaarufu hapa Jf.
 
Mbona unatishia watu
Hata wewe unadhani utadumu hapa milele acha watu wajadili mada tofauti tofauti hii ni forum
 
Unapenda mada za ushoga yaani kila uzi lazima uhakikishe neno ushoga linajadiliwa
Nilishakuambia hakunaga tuzo ya matusi we ni mjinga flani hivi

Unatishia watu kwa kuwatukana hopeless kabisa
Ni kwa sababu umejikita kwenye imani yenu ndio maana umeruhusiwa kwa kuwa saidia mapdri waliokatazwa kukutana na mwanamke lakin ini ni ruhusa wachokoane wenyewe kwa wenyewe, mnatia kinyaa
Na wewe umeshabarikiwa? mbona unamaindi nikiwataja ndugu zako katika imani

 
Endelea na kampeni yako ya ushoga sababu inaonekana unaupenda sana
Huwezi poteza mda kuongelea kitu ambacho hukipendi hio ni human nature

Mtu ambaye hapendi mpira huwezi kuta anapoteza mda anaongelea mpira sababu sio interest yake-ukiona unapoteza mda mwingi kuongelea jambo jua unalipenda

Sipendi mtu anayepoteza mda kila saa kuongelea ushoga kama wewe sababu namuona nayeye ni wale wale
 
Mbaambaambaaa
Umeshabarikiwa ?

 
Ni kawaida kwa muislamu kufunga alafu mda huo huo anaporomosha matusi kama yote

Ila mimi siwashangai mambo yao mengi yamefungwa kimwili na sio kiroho
Hii ni hatari sana.

Ni wazi hawa watoto wa mamdogo hawaelewi nguvu ya neema ya Mungu na jinsi inavyobadilisha tabia nafsini mwa muumini.

Kama Ramadhan ni suala la kutimiza ratiba tu, bila badiliko lolote kimaisha, basi wanapoteza muda wao -- na huenda pia wanakufuru.
 
Waislamu ni wanafki sana, hiyo dini yenyewe walilazimishiwa kwa jambia na mwarabu. Hakuna miafrika mipumbavu km wazanzibari kwenye dini, uislamu ni utamaduni wa waarabu. Shida wazanzibari elimu iko chini sana. Mfungo wao ndio muda wa kula zaidi. Mfungo gani watu wanamaliza wameongeza kilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…