gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Mwanakulitafuta Mwanakulipataumelaaniwa wewe, acha upuuzi
Siku nyingine akiwashwa ajitie dole kumsaidia kukaa kimya, sio kushoboka na imani za watu
Tupo wengine sisi tumepinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanakulitafuta Mwanakulipataumelaaniwa wewe, acha upuuzi
Tunaambiwa tofauti ya funga zetu na zao ni "kula daku"Mfungo sio kwajili ya tumbo bali ni imani, siwezi kushangaa mtu kama wewe ukilalamika ukiona watu wakila hadharani, ni kwamba umefungia tumbo sio imani
Unakataa kuwa ukiritadi saudia na kwingineko unauwawa?Hakuna kitu kama hicho mkuu hizo story za kutishana tu
tatizo lako unatukana huku umefunga, kufuru tupuMwanakulitafuta Mwanakulipata
Siku nyingine akiwashwa ajitie dole kumsaidia kukaa kimya, sio kushoboka na imani za watu
Tupo wengine sisi tumepinda
Hauna akili ,sasa jamaa wako mmoja ndio kielelezo Cha umma wote ?Hii dini imejaa waigizaji ni hatari, kuna jamaa angu tunafanya nae kazi za saidia fundi eti nae akawa anadai amefunga, sasa juzi kuna site moja ya mbali kidogo na tunapoishi tulikuwa tunaenda kupiga kazi hivyo tukakubaliana tuwahi asubuhi sana, ile kumi na moja alfajiri me nikawa tayari njiani naenda ghetto kwake kumpitia ili tuanze safari, kufika nakuta mwamba katenga ugali na samaki flani wadogowadogo (huku kanda ya ziwa wanaita furu) wa kukaanga anafukia mashimo hana habari, nikamuuliza kulikoni sheikh na ulidai umefunga? Jibu nililopewa, ..Hamna shida nitalipa kwenye SITA😂
Wakristo hawafingi kwa show offSiyo kwamba tunawaonea wivu waislam? Maana wao wanaheshimu funga yao kuliko sisi wakristo ambao huwa hatufungi kabisa tunaenda kupaka majivu tu.
Aliejitahidi sana kufunga anachagua kufunga kula kitu kimoja anakwambia kafunga kula kachori.
Watu kama mleta mada hapa Jf wanaokuja na kuondoka hawadumu na walikuwepo wengi sana ambayo kazi Yao ilikuwa kuandika mada ambazo wahahisi watawakera waislamu na kuudhohofisha Uislamu.Swahaba wa Mtume, ibn Masoud R.A kwenye hazina ya mali ambayo yeye alikuwa ni bohari akiingia kuifanyia ukaguzi anaona Mali imepungua. Siku baada ya siku akamkamata mwizi wake na kumwambia nakupeleka kwa Mtume ili akatoe hukumu.
Yule mtu akamwambia nionee huruma, nakuahidi sitoiba tena na nitakupatia kitu bora kwa ulinzi wa Mali zako. Akamwambia soma aya fulani katika Qurani Mali zako zitakuwa chini ya ulinzi wa Mungu.
Hizi taarifa alipomfikishia Mtume, Mtume akamwambia; alichokisema kwenye ulinzi ni cha kweli, lakini huyo mtu bado ni mwongo! Na kweli mbeleni akamdaka tena akiiba.
Kwa hiyo, utawahadaa wengine, ila haitobadili maana kwamba wewe ni mdini.
Unapenda mada za ushoga yaani kila uzi lazima uhakikishe neno ushoga linajadiliwaPumbavu punga wewe
Unaongelea matakoni
Mbona unatishia watuWatu kama mleta mada hapa Jf wanaokuja na kuondoka hawadumu na walikuwepo wengi sana ambayo kazi Yao ilikuwa kuandika mada ambazo wahahisi watawakera waislamu na kuudhohofisha Uislamu.
Matokeo wanatumia muda wao mwingi na nguvu kubwa bila Faida wakati uislamu ukizidi kusonga mbele.
Yuko wapi Execute Citizen B Championship Maghayo na wengine ambao walikuwa na kazi Moja tu kukashifu Uislamu sasa wapo wapi ? halafu Wagalatia mtindo huo wamechukulia kama fasheni ya kutaka umaarufu hapa Jf.
Kila comment yako kwenye nyuzi nyingi lazima utumie neno ushoga inaonekana unapenda sana ushogaAisee
Ningependa sana kuwa kwenye hiyo ofisi, wangetia akili mashoga hao
Ni kwa sababu umejikita kwenye imani yenu ndio maana umeruhusiwa kwa kuwa saidia mapdri waliokatazwa kukutana na mwanamke lakin ini ni ruhusa wachokoane wenyewe kwa wenyewe, mnatia kinyaaUnapenda mada za ushoga yaani kila uzi lazima uhakikishe neno ushoga linajadiliwa
Nilishakuambia hakunaga tuzo ya matusi we ni mjinga flani hivi
Unatishia watu kwa kuwatukana hopeless kabisa
Endelea na kampeni yako ya ushoga sababu inaonekana unaupenda sanaNi kwa sababu umejikita kwenye imani yenu ndio maana umeruhusiwa kwa kuwa saidia mapdri waliokatazwa kukutana na mwanamke lakin ini ni ruhusa wachokoane wenyewe kwa wenyewe, mnatia kinyaa
Na wewe umeshabarikiwa? mbona unamaindi nikiwataja ndugu zako katika imani
View attachment 2943149
Hapo unathibitisha wazi kwamba hii mifungo ya Ramadhan haikusadii, bali inakupotosha.Tupo wengine sisi tumepinda
MbaambaambaaaEndelea na kampeni yako ya ushoga sababu inaonekana unaupenda sana
Huwezi poteza mda kuongelea kitu ambacho hukipendi hio ni human nature
Mtu ambaye hapendi mpira huwezi kuta anapoteza mda anaongelea mpira sababu sio interest yake-ukiona unapoteza mda mwingi kuongelea jambo jua unalipenda
Sipendi mtu anayepoteza mda kila saa kuongelea ushoga kama wewe sababu namuona nayeye ni wale wale
Ni kawaida kwa muislamu kufunga alafu mda huo huo anaporomosha matusi kama yoteHapo unathibitisha wazi kwamba hii mifungo ya Ramadhan haikusadii, bali inakupotosha.
Umefunga lakini moyo umejaa kutu kuliko hata kafiri mwenyewe. Aibu kwako!
Endelea usichoke tafuta picha nyingi na uendelee kupost sababu ndo kitu unachokipenda
Unahukumu, kwani wewe unamiadi na Mungu ninayemwaminiHapo unathibitisha wazi kwamba hii mifungo ya Ramadhan haikusadii, bali inakupotosha.
Umefunga lakini moyo umejaa kutu kuliko hata kafiri mwenyewe. Aibu kwako!
Hii ni hatari sana.Ni kawaida kwa muislamu kufunga alafu mda huo huo anaporomosha matusi kama yote
Ila mimi siwashangai mambo yao mengi yamefungwa kimwili na sio kiroho
Waislamu ni wanafki sana, hiyo dini yenyewe walilazimishiwa kwa jambia na mwarabu. Hakuna miafrika mipumbavu km wazanzibari kwenye dini, uislamu ni utamaduni wa waarabu. Shida wazanzibari elimu iko chini sana. Mfungo wao ndio muda wa kula zaidi. Mfungo gani watu wanamaliza wameongeza kilo?tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba :
Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo.
Funga ya mkristo akila saa moja jioni ni mpaka kesho tena saa moja jioni hakuna kunywa maji wala kula, na hata mle hadharani wala hapagawi au kulalamika mnamuingiza tamaa.
Upande wa pili ukila saa moja jioni unaweza kutupia tena mida ya saa nne flani hivi kabla hujalala, hapo bado tena kuna daku la saa kumi alfajiri, ni kama vile ratiba ya lunch inahamia alfajiri na ratiba ya chai kabla ya kulala, cha kushangaza baadhi yao hata wakipiga daku lakini bado wakiona mtu anakula hadharani tayari kuna roho ya kutamani inaingia utasikia wakilalamika "huoni aibu kula hadharani", Zanzibar wameenda mbali zaidi ukikutwa unashushiwa kipigo.
Huyo siyo panya usiku muda wa chakula kuyeyushwa kwa utulivu. Mtu unakula saa 10 alfajiri hiyo njaa utaisikiajeKuanzia Leo Anza Kula usiku. Si unaona waislam wanafaidi Kula usiku?