Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

Holiness should be through iman not stomach, why complain to people who eat publicly if your iman is stronger than tumboo πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nilisikitika kusikia walimfuata mamako wa watu anapikia wateja wake akiwa amejifungia ndani. Zanzibar haina tofauti na Korea Kaskazini. Kaanchi kadogo kakipumbavu.
 
Wewe Pumbavu kwani umelazimishwa kuja Zanzibar
Na kwenye elimu mmesoma upupu gani, mbona nchi yenyewe ni mpaka leo inajengewa vyoo vya msaada na masikini wanakufa kwa kukosa matibabu, hiyo elimu mnajiona mnakariri imesaidia nini
Na huo ugalatia unaoufata si ndio wameamua sasa mfira..ne kufuata utamaduni wao, mbona mnashtuka tukiwakumbusha kubarikiwa
 
Kazana kuna tuzo ya kutukana matusi
 
Wakristo Halisi hawafungi kwa msimu kama Waislam

Wakristo haswa wanafunga siku yoyote pale mioyo yao inapokuwa na uhitaji wa msaada wa Mungu, naweza amua kufunga hata masaa 12 tu kwa siku 3 nikiwa na jambo la kuombea

Suala la kufunga kwa msimu na kuzuga kuacha dhambi halafu baada ya mfungo ukaendelea na dhambi zako ni UNAFIQ
 
Kuhusu kula Waislam ni walafi sana kipindi hiki na siku ya Idd

Mwaka jana kuna Waislam waliokuwa wanaswali sana siku ya Idd walipiga misosi na kutualika na mpaka K-VANT walinunulia watu

Mbona mpaka Mdudu wanakulaπŸ˜‚
 
Wakristo wanafunga kwa iman na sio sheria kama ilivyo kwa waislamu
 
99% ya wakristo hawafungi funga yao ni kula ila usishibe
Wakristo tuna mifungo yetu maalum ya kuanzia wiki, siku 30 ama siku 40. Huwa hatufungi kwa kujionesha mbele za watu kabisa.
ndio maana hata hiyo kwaresma haieshimiwi duniani kote kwasababu hawafungi
Aliye anzisha kwaresma ndiye aliye anzisha Ramadan, ndiye aliye anzisha uislam. Najua hujui kuwa uislam ni kitengo kilichozinduliwa huko Vatican kwa maslahi ya Vatican.

Hakuna mwezi mwezi wala mfungo wa kwaresma katika ukristo, hivyo unapoongelea kwaresma usitaje ukristo. Yesu Kristo hakuasisi kwaresma,na kwaresma sio ukristo.
 
Kiafya kufunga ni kuzuri unachoma mafuta na kuflash uchafu wote mwilini,ikiwemo negative energy mfano nguvu za giza ambazo utegemea chakula ili ziwe active automatic zinakufa
 
Mbona unapenda sana udini mzee?

Kwani kwa kutumia upeo wako wa kawaida unashindwa kung'amua aina fulani za mada nikianzisha zitaleta kurushiana maneno watu wa imani tofauti?!

Yaani mada zako za kidini dini sijui una matatizo gani?!
Turuhusu Freedom of speech
 
Kufunga sio kushinda bila kula.
 
Hii nchi wakristo wengi sana, lakn kulalamika sasa & kuwasema waislamu humu JF kumezidi. Yaan kuna post ukiisoma unaona kabisa huyu kaandika kwa hasira kali au huku analia.
Bora uandike emotionally kuhusu UMEME. Over😎
 
Freedom of speech
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…