kwavile swali lako umeuliza kuwa kuna timu yoyote kutoka shirikisho inaweza gusa timu zilizopo klabu bingwa kiuwezo, ngoja nikupe jibu.
fact 1
Far Rabat yupo shirikisho ila alimfunga Wydad goli tatu kwenye mechi ya ligi kuu Morocco, na juzi juzi tu alikuwa ugenini kafungwa goli moja tu na Raja wakati kuna timu ipo klabu bingwa imefungwa goli tatu nyumbani kwao
2) Wydad bingwa wa CAF champions league alifungwa na bingwa wa CAF confederation cup katika CAF super cup.
3)Simba kwa Yanga sina haja kuongelea ni mechi inayokuwa nyepesi kwa Yanga.
Hitimisho
Kwenye klabu bingwa na shirikisho kuna timu zilizo ngumu na pia kuna timu zilizo nyepesi vile vile inategemea unampambanisha dhidi ya yupi. Hawa waliopo shirikisho sio timu dhaifu kuna timu zinaongoza ligi kwenye nchi zao pia.