Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Akifungwa ni wakubwa wenzakePoor, huko kwenye UEFA huwa hawafungwi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifungwa ni wakubwa wenzakePoor, huko kwenye UEFA huwa hawafungwi??
Timu A kuifunga B haimaanishi kuwa timu A ni bora kuliko B, Timu hata iwe bora kiasi gani lazima kuna muda itafungwa tu na timu dhaifu, hili lina mifano mingi,
Timu zilizofuzu Champions league hazikufuzu kwa bahati kama unavyotaka kuliweka, bali kuna utaratibu maalum wa kuzichuja, unaoitwa seeding, huu unahakikisha timu bora ndio hufuzu, ndio hutumika kwenye mashindano yote makubwa
Mada sio kupambana. Bali alichokiongea mleta mada ni kuwa kwenye timu nane zilzopo shirikisho hakuna timu inayoweza kuisumbua timu yeyote kati ya timu nane zilizofuziu klabu bingwa. Kitu ambacho sio kweli, Yanga ana mmudu Simba vizuri kabisa na wakati huo pia tumeshaona Far Rabat akiwamudu Wydad kwa kumtandika goli tatu kwa sifuriKwahiyo wewe kwa akili yako Yanga anaweza kupambana na Simba kwenye CAF champions League ??
Tukutane na Yanga kwenye Mashindano ya club bingwa alafu tuone kama mtamfunga simba.(nikitu ambacho hakiwezekanj labda Miaka 30 ijayo yanga ndo itangia Makundi club bingwa)Umesoma pasipo kuelewa nilichomaanisha.
Mimi sijapiga hesabu ya nani kumfunga nani ni sawa sawa na akicheza na nani. Mleta mada kauliza swali ni timu gani iliyopo shirikisho yenye uwezo wa kupambana na timu zilizopo klabu bingwa, kwa akili yake na nyie mashabiki wa kimahaba ya timu mnaona ni sahihi. Lakini sio kweli timu zilizopo shirikisho zinauwezo wa kuifunga timu iliyopo klabu bingwa au hata wakatoa sare. Mfano mzuri ni mechi iliyochezwa kati ya Wydad dhidi ya Rabat. Wydad kafungwa na Wydad goli tatu.
Mfano wa pili ni bingwa wa CAF confederation cup kumfunga bingwa wa CAF champions league kwenye CAF super cup
Ligi kuu sio mashindano ambayo ni serious kwa Simba? Kombe la Azam Federation sio mashindano serious kwa Simba? Tuanzie hapa kwanzaTukutane na Yanga kwenye Mashindano ya club bingwa alafu tuone kama mtamfunga simba.(nikitu ambacho hakiwezekanj labda Miaka 30 ijayo yanga ndo itangia Makundi club bingwa)
Simba anakua serious kulingana na Mashindano anayo shiriki .Ndomana ata kombe la mapinduzi alitoka Mapema akaenda zake Dubai .kifupi simba ni Timu ambayo inajua inachokifanya.
Na nilichokiona, huko klabu bingwa, ni timu mbili tu, za WEUSI walioingia top eight, wengine wooote ni WAARABU!Timu Bora tu Afrika ndio zimeingia robo fainali View attachment 2567123
Haya maneno usiongee mbele ya watu wazima kaongee na watoto,Tukutane na Yanga kwenye Mashindano ya club bingwa alafu tuone kama mtamfunga simba.(nikitu ambacho hakiwezekanj labda Miaka 30 ijayo yanga ndo itangia Makundi club bingwa)
Simba anakua serious kulingana na Mashindano anayo shiriki .Ndomana ata kombe la mapinduzi alitoka Mapema akaenda zake Dubai .kifupi simba ni Timu ambayo inajua inachokifanya.
Hivi hayo mashindano ya shirikisho si ndo yale mliroga kwa kuwasha moto kule Saouth Africa, halafu leo unaliona siyo la maana..!! Hilo hilo liliwapigisha faini ya TAMBIKO LISILO SALAMA nyie wachawi FCCheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho.
Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
View attachment 2566457
View attachment 2566458
Utoto raha sana..!!Tukutane na Yanga kwenye Mashindano ya club bingwa alafu tuone kama mtamfunga simba.(nikitu ambacho hakiwezekanj labda Miaka 30 ijayo yanga ndo itangia Makundi club bingwa)
Simba anakua serious kulingana na Mashindano anayo shiriki .Ndomana ata kombe la mapinduzi alitoka Mapema akaenda zake Dubai .kifupi simba ni Timu ambayo inajua inachokifanya.
Mashindano yote ni muhimu mpaka pale yanapolinganishwa na mashindano mengine. Kombe la ligi vs Mpainduzi n.kLigi kuu sio mashindano ambayo ni serious kwa Simba? Kombe la Azam Federation sio mashindano serious kwa Simba? Tuanzie hapa kwanza
We unafikiri kuna kunguni anaweza tia mguu hapo...?Umasikini wa AKILI na PESA ni mbaya sana
Sishangai maana pia mlisema Hatuvuki makundi mbele ya Horoya....Usisahau pia kutukumbusha, ya kwamba hapo ndiyo mwisho wa safari yenu. Hivyo ni jambo jema kujipongeza.
Wanatia huruma sana..Utopolo wako mashindano ya wachovu sana.
Lete hoja za msingi hakuna mtoto hapaUtoto raha sana..!!
Kwa standards simba alizo jiwekea hayo mashindano kwake sio issue sana.Ligi kuu sio mashindano ambayo ni serious kwa Simba? Kombe la Azam Federation sio mashindano serious kwa Simba? Tuanzie hapa kwanza
Mbona yanga ni dhaifu sana ndugu. Usiniulize swali lolotekwavile swali lako umeuliza kuwa kuna timu yoyote kutoka shirikisho inaweza gusa timu zilizopo klabu bingwa kiuwezo, ngoja nikupe jibu.
fact 1
Far Rabat yupo shirikisho ila alimfunga Wydad goli tatu kwenye mechi ya ligi kuu Morocco, na juzi juzi tu Far Rabat alikuwa ugenini kafungwa goli moja tu na Raja wakati kuna timu ipo klabu bingwa imefungwa goli tatu nyumbani kwao
2) Wydad bingwa wa CAF champions league alifungwa na bingwa wa CAF confederation cup katika CAF super cup.
3)Simba kwa Yanga sina haja kuongelea ni mechi inayokuwa nyepesi kwa Yanga.
Hitimisho
Kwenye klabu bingwa na shirikisho kuna timu zilizo ngumu na pia kuna timu zilizo nyepesi vile vile inategemea unampambanisha dhidi ya yupi. Hawa waliopo shirikisho sio timu dhaifu kuna timu zinaongoza ligi kwenye nchi zao pia.
Wewe unayoongea hayo ndiye unayeaanda malengo na mikakati ya timu?Kwa standards simba alizo jiwekea hayo mashindano kwake sio issue sana.
Simba angetolewa atua ya makundi ingemuuma sana. Tofauti itavyo muuma kukosa kombe la ligi.so mpaka hapo ushajua target ya Simba ni ipi