Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa

Aliyeko Shirikisho ndiye anaongoza ligi Morocco
 
Umasikini wa AKILI na PESA ni mbaya sana
Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho.

Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.


View attachment 2566457


View attachment 2566458
yanga watakujibu hili kwa kuleta kombe hapa na sio nyenye nyenyenyenye,hapo safari yako inaishia robo tu,wana jangwani tunaleta kombe la shirikisho mwakani tunacheza fainali klabu bingwa hapo ndo utajua hujui kwamba KUTANGULIA SIO KUFIKA...shwain nyie
 
Mna timu ya kucheza champions league nyie? Huko timu kubwa pekee ndio hazi yao siyo nyie felia, kila mkiingiza pua huko huwa mnachezea kichapo na kuangukia shirikisho.
 
Akili mgando
 
Wewe ungeonesha kuwa una akili mseleleko kwa kuonesha ni wapi ambapo hapako sawa. Kuishia kusema akili mgando tu ni wazi hauna point.
Nmeona una kichwa kigumu kuelewa kutokana na watu wengine ku comment point za msingi lakn bado umekomalia Far Rabat kumfunga Waydad
 
Simba kushirikishwa kwenye Caf Super League mwaka huu ni ushahidi tosha kuwa Simba ni klabu kubwa pekee nchini Tanzania!! Hao wengine ambao sitaki hata kutaja jina lao maana wanajijua na kwa sasa wanashiriki kombe la losers huko caf
 
Kwahiyo wewe kwa akili yako Yanga anaweza kupambana na Simba kwenye CAF champions League ??
 
Timu A kuifunga B haimaanishi kuwa timu A ni bora kuliko B, Timu hata iwe bora kiasi gani lazima kuna muda itafungwa tu na timu dhaifu, hili lina mifano mingi,

Timu zilizofuzu Champions league hazikufuzu kwa bahati kama unavyotaka kuliweka, bali kuna utaratibu maalum wa kuzichuja, unaoitwa seeding, huu unahakikisha timu bora ndio hufuzu, ndio hutumika kwenye mashindano yote makubwa
 
Ww babu pumzika utapata stroke kwa heart attack...
 
Simba ni chuo kikuu cha mpira wa Tanzania - Bernard Morrison akiwa kwenye Simba Day, Benjamin Mkapa Stadium
 
Poor, huko kwenye UEFA huwa hawafungwi??
 
Yanga mara ya mwisho kumfunga Simba ligi kuu bara ilikuwa mwaka gani?
 
Kigezo ni kipi?? Mbona bingwa wa club bingwa alipigwa na bingwa wa shirikisho kwenye game ya super cup? Kuwa champions League hakukifanyi kuwa wewe ni Bora kuliko wengine..hv haujui kwamba huko CAF ili uende lazima ufanye vizuri games za Ligi za nyumbani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…