Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa

Je kwenye shirikisho hawafanyi hiyo seeding?
Na ndio maana kunakuwa na bingwa wa wote yaani kuna bingwa wa mashindano yote ya CAF interclub championship ambaye ndiye anakuwa ndio bingwa wa CAF super cup

Timu yeyote inaweza kuwa dhaifu kutegemea tu unampambanisha dhidi ya nani. Mfano Simba pamoja na kuwa katika mashindano ya champion league anaweza kufungwa na Rabat aliyepo confederation cup.
 
Kwahiyo wewe kwa akili yako Yanga anaweza kupambana na Simba kwenye CAF champions League ??
Mada sio kupambana. Bali alichokiongea mleta mada ni kuwa kwenye timu nane zilzopo shirikisho hakuna timu inayoweza kuisumbua timu yeyote kati ya timu nane zilizofuziu klabu bingwa. Kitu ambacho sio kweli, Yanga ana mmudu Simba vizuri kabisa na wakati huo pia tumeshaona Far Rabat akiwamudu Wydad kwa kumtandika goli tatu kwa sifuri
 
Tukutane na Yanga kwenye Mashindano ya club bingwa alafu tuone kama mtamfunga simba.(nikitu ambacho hakiwezekanj labda Miaka 30 ijayo yanga ndo itangia Makundi club bingwa)

Simba anakua serious kulingana na Mashindano anayo shiriki .Ndomana ata kombe la mapinduzi alitoka Mapema akaenda zake Dubai .kifupi simba ni Timu ambayo inajua inachokifanya.
 
Ligi kuu sio mashindano ambayo ni serious kwa Simba? Kombe la Azam Federation sio mashindano serious kwa Simba? Tuanzie hapa kwanza
 
Haya maneno usiongee mbele ya watu wazima kaongee na watoto,

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho.

Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.

View attachment 2566457

View attachment 2566458
Hivi hayo mashindano ya shirikisho si ndo yale mliroga kwa kuwasha moto kule Saouth Africa, halafu leo unaliona siyo la maana..!! Hilo hilo liliwapigisha faini ya TAMBIKO LISILO SALAMA nyie wachawi FC
 
Utoto raha sana..!!
 
Ligi kuu sio mashindano ambayo ni serious kwa Simba? Kombe la Azam Federation sio mashindano serious kwa Simba? Tuanzie hapa kwanza
Mashindano yote ni muhimu mpaka pale yanapolinganishwa na mashindano mengine. Kombe la ligi vs Mpainduzi n.k
 
Ligi kuu sio mashindano ambayo ni serious kwa Simba? Kombe la Azam Federation sio mashindano serious kwa Simba? Tuanzie hapa kwanza
Kwa standards simba alizo jiwekea hayo mashindano kwake sio issue sana.
Simba angetolewa atua ya makundi ingemuuma sana. Tofauti itavyo muuma kukosa kombe la ligi.so mpaka hapo ushajua target ya Simba ni ipi
 
Mbona yanga ni dhaifu sana ndugu. Usiniulize swali lolote
 
Kwa standards simba alizo jiwekea hayo mashindano kwake sio issue sana.
Simba angetolewa atua ya makundi ingemuuma sana. Tofauti itavyo muuma kukosa kombe la ligi.so mpaka hapo ushajua target ya Simba ni ipi
Wewe unayoongea hayo ndiye unayeaanda malengo na mikakati ya timu?
Angalia kiongozi wenu amesema nini kuhusu malengo ya Simba msimu huu. Wewe ndio wale wa sizitaki mbichi hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…