Kwa standards simba alizo jiwekea hayo mashindano kwake sio issue sana.
Simba angetolewa atua ya makundi ingemuuma sana. Tofauti itavyo muuma kukosa kombe la ligi.so mpaka hapo ushajua target ya Simba ni ipi
Ni sawa tu na mlivyosema awali kuwa kuna chance kubwa ya yanga kwenda robo fainali kuliko Simba.
Nafurahi tu kila siku mnabadili kauli.
Na nimefurahi kwa vile mamelody mnamuita mbabe.Msije kubadili kauli tena na kuiita kibonde siku ikiwadia kama mlivyowaita mashujaa wenu vipers na Horoya