Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

Jamaa ananiambia al haly inawachezaji karibia tisa walienda kucheza world cup ya mwaka 2018...kule Russia wakati simba haina ata mchezaji mmoja aliecheza world cup hii ina ukweli l????
Sasa utachezaje WCup bila timu ya Taifa
 
Walishindwaje kutumia kitabu wamfunge bayern?

Mwaka jana tulivo wachapa pale kwa mkapa ni kafar ya nani simba walitoa?
Uzuri wote twajua fitna za nje na ndani ya uwanja
 
Wewe mwenye Kazi yako ya maana mbona Kutwa tu ( 24/7 ) upo nasi Ukipuyanga tu hapa JF? Pumbavu!!
sasa ushawahi niona nikilalamika napotezewa muda?

kama ukitaka kushuhudia mwanaume ukiolewa, endelea kulaumu muda na kujifanya unachelewa.../
 
Mkuu angalia mashabiki lia lia watakupopoa mawe.
 
Hii Simba yetu inaishi kwa michezo kama hii, we thrive on the biggest stage of continental football against the continents best.

This is what Simba is all about

Unakumbuka nini kilimtokea Zamalek 2002/03 ?
Subiri uone kitakachotokea Leo .Msilete visababu sababu mkifungwa Mara tatizo kocha Mara tatizo fulani Mara manula hatufahi. Mechi ya Leo ni kipimo tosha Cha ubora wa wachezaji wa Simba . Watu wamemkaba Muller ,Lewandoski washindwe Kagere ,Luis ,Mugalu,Chama hivi inaingia akilini kweli.Ngoja tusubiri muda utasema
 
Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.

Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
Sawa tusubiri tuone.Kumbuka Timu ya Taifa ya Brazili iliandaa kombe la dunia na kupigwa goli 7 bila nyumbani kwao mbele ya Viongozi wao wakuu wa serikali na wananchi wao.
 
zamalek 2003 akiwa na kina Hossam hassan week moja kabla wakiwa tournament klabu bingwa ya dunia walicheza na real madrid ya kina beckham,zidane,figo wakafungwa moja na dar es salaam wakapigwa moja na simba sasa hiyo bayern inakutetemesha sana siyo?HALFU KIPIMO CHA VITA UGENINI HAKIHESABIKI TENA SIYO?
 
Kwa hiyo Simba imesajili wachezaji wazuri na wenye ubora kuliko Al Ahly? Wakati mwingine mapenzi muyaweke pembeni mseme ukweli.Muda utasema mjiandae kuleta visababu sababu visivyokuwa na msingi Mara tatizo fulani au fulani hamtaeleweka kwa tambo zenu hizi
 
week 2 zilizopita nilikia as vita angetupiga 7 sasa naona kipimo ni leo,mtahaha sana mwaka huu laazima mchuchumae mmeingia ch a kike
 
Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.

Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
Siyo pyramib ni el- masri
 
Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.

Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.

Yani hako Katoto unakokafahamisha hakajui hata kanaongea nini! Ni kina Kigwangala hao wanataka 20B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…