Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

mara Simba haiwawezi Ptateau, Simba ikashinda...
mara mtapigwa na Ptatinum, Simba ikashinda..
mara kwa As vita hii mjiandae kupigwa zile 5, Simba ikashinda...
baada ya kuona vile vipimo vyenu vya kuipimia Simba hapo juu kushindwa leo hii mko tena kwa Al ahyl...!!
sishangai hata Simba akimfunga al ahyl sababu hazitaisha kwa team nyingine zitakazofuatia.
ACHA ROHO MBAYA KIJANA, UKIZEEKA UTAKUWA MCHAWI
 
Acha uoga.
 
Acha ushirikina mkuu
 
haya simba imeshinda niambie kafara ya kiongozi mkubwa iliyotolewa ni nani?

ulisema wachezaji wa 4 wa al ahly ni kikosi kizima cha simba, niambie thamani yao imewasaidia nini?

Ulisema wanaroga sana kwa kutumia kitabu, imekuwaje wakafungwa?

nilikuambia kuhusu sevilla alivyo pata shida kwa mkapa kwa kiwango cha al ahly hawezi kuchomoka ukanibishia

BWEGE we si naongea na wewe

unabahati mwanzoni ulisema we ni msimbazi. Acha niishie hapo
 
Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.

Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
Asante kwa histor mujaarabu hili uto watabisha Kama kawaida yao
 
Uzi wa kishirikina tupu huu.
Kama uo ushirikina ungekuwa unafanya kazi kwenye soka, basi ao Alhly uo ushirikina wa kitabu kama ulivyosema si wangetumia kwenye mechi yao na Bayern?
Utoo wanawaza tu uchawii anytime
 
Simba imeshinda kiongozi gani aliekufa kwajili ya kafara ya ushindi?
 
Ut
Sawa tusubiri tuone.Kumbuka Timu ya Taifa ya Brazili iliandaa kombe la dunia na kupigwa goli 7 bila nyumbani kwao mbele ya Viongozi wao wakuu wa serikali na wananchi wao.
Utopolo tumeona zero na bingwa wa nchi kafanya kweli
 
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…