John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,008
- 1,028
Tuwe na hakiba ya maneno Leo haibu yako tehteheteheeeeNi Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.
Dadako ananinyima Bao la Tatu huku.Mkuu u khali gani huko?
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.Tuwe na hakiba ya maneno Leo haibu yako tehteheteheeee
Khaaaaaah..... sijui ulikua unawaza nn.... sasa ndo mjue kwa level ya simba sasa... hakuna kudoubt timu yoyoyte na ije 80% matokeo ni mazurSijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema.
Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ila tusidanganyane Al Ahly ni zaidi ya Simba SC ndani na nje ya Uwanja huku zaidi ikiwa ni katika Ufundi.
Nina uhakika wa Matokeo ya Suluhu (Sare bila ya Magoli) au Sare Pacha (ya Magoli) au Simba SC Kufungwa na Al Ahly goli Kuanzia 2 (Mbili)
Wale mtakaochukia na huu Uzi mnisamehe, tuvumiliane na muupokee tu kwani ndiyo Utabiri wangu kama ambavyo nimekuwa nikiutoa kwa Matokeo mengine mbalimbali yaihusuyo Simba SC yangu (yetu)
Kumfunga Al Ahly Kesho Kiutamaduni (Kiuchawi) Simba SC inatakiwa ifanye Kafara kubwa la Kiongozi wake Mmoja wa Juu Afe ghafla (tena kwa Ajali) na Damu yake itumike. Pia Kucheza huo Mchezo Saa 10 Jioni tumekosea mno kwani Jini la Ushindi la Simba SC huwa linaanza Kufanya Kazi kuanzia Saa 1 Usiku hadi Saa 6 Usiku tu.
Na Safari hii Al Ahly nao wamejidhatiti sana Kindumba (Kiuchawi) japo Wao wanatumia zaidi Kitabu na kuna Jambo wamelifanya Leo na Kesho Saa 5 Asubuhi watalifanya tena. Wamejiandaa mno kwa Fitna za nje ya Uwanja.
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.
Kapige nyeto ulale famba wewe. Unaleta uganga pori wako kwenye mambo ya mpira, shwain.Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.
uchawi ni nini?Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.
kinasema wewe ni falaKichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu!!
Sio wanawaza uchawi bali ni wachiwa wakubwa awa.Utoo wanawaza tu uchawii anytime
Sawa mkuuDadako ananinyima Bao la Tatu huku.
Mkuu mpuuze tu@Active
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.uchawi ni nini?
hivi unaweza ukanithibitishia kuwa kuna uchawi kwa fact?
Unajisikiaje kujua Mimi ni Shemeji yako kwa Dadako?Sawa mkuu
Aisee kesho Simba atashinda mojaAisee tusubir tu hiyo kesho
Kama aliyekutapika Wodi ya Uzazi baada ya Kukuhifadhi Miezi yake Kenda.kinasema wewe ni fala
maneno yametimia.kama ndio ile Al~ahali iliyo cheza na almereki ya sudani, basi mbele ya simba naamini mbele ya simba watafanya kazi ya ziada kuishinda simba.
kwa simba niliyo iona ikicheza na VITA basi wakirekebisha makosa madogo tu basi naamini watashinda kwa zaidi ya goli 1.
Sent using Jamii Forums mobile app