Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wanajua kuficha taarifaHAMAS wa Bongo ni hatari zaidi.
Maza anavuna haswaVideo inaweza vujishwa kama kutakuwa na tukio maalum ambalo watanzania tutakuwa tunapigwa gizani.
Tukiwa bize na umbea àmbao una ukweli ndani yake Huku Gizan tunapigwa na kitu kizito ambacho Raisi ajaye atasota nacho.
Wekeni hizo videoSipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa , kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje
Ili ifunike mjadala gani muhimu unaoendelea TZ?!Wekeni hizo video
Mungu apishe mbali
Ninyi akina nani? na wewe ni nani mpaka ujiondoeNinyi hamtaokotwa ila Chatu lazima watashiba.
Kwan Kuna mjadala gani muhimu unaoendelea Tz.?Ili ifunike mjadala gani muhimu unaoendelea TZ?!
Mkuu tupe link tuzione? Au nitumie PMKwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas , bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu .
Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa , kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje .
Mungu apishe mbali
Soma Mada, unga na jibu futa swali lako.Ninyi akina nani? na wewe ni nani mpaka ujiondoe
Kama haupo na video hazivuji.Kwan Kuna mjadala gani muhimu unaoendelea Tz.?
Ziachiwee...Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas , bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu .
Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa , kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje .
Mungu apishe mbali
Usijitetee, wewe na Lissu mna support Hamas mnawaita wapigania Uhuru kama Mandela.Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas , bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu .
Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa , kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje .
Mungu apishe mbali
Incredible comment. Upo vizuri mkuu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Video inaweza vujishwa kama kutakuwa na tukio maalum ambalo watanzania tutakuwa tunapigwa gizani.
Tukiwa bize na umbea àmbao una ukweli ndani yake Huku Gizan tunapigwa na kitu kizito ambacho Raisi ajaye atasota nacho.
Mtoa mada kasema video zipo ndo aziweke sasa aache kuongea maneno ya siasaKama haupo na video hazivuji.
CHUKUA CHAKO MAPEMA bado ndio MA star pekee TZ.
siku video ya Mbowe akimtwanga risasi Chacha wangwe ikivujishwa itakuwaje siku Watu waliotumwa na Mbowe kumtwanga goroli Tundu Lisu ikivujishwa hadharan itakuwajeKwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas , bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu .
Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa , kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje .
Mungu apishe mbali