Po
Pole mkuu,ila najua kwamba unajua ukweli.kama wewe ni mcha Mungu[emoji848][emoji848]
Hakika nafsi inakusuta mkuu.
Si kwa ubaya,hata Kama mtu humpendi au humpendi kule anachokiamini haikupi mamlaka ya kutumia mamlaka ukiliyonayo kumwadhibu.
Mkuu,haya ni maisha tu.
Je ingekuwa Kuna kuishi milele je,wenye mamlaka si ndio wangejipa kipaumbele.
Daaaah.nasikitika tu mkuu Kama kweli unaamini kuwa mh Mbowe na T Lisu wanaweza kufanya hayo unayoyaandika hapa Kaka mkubwa.
Siasa sio chuki,Bali ni njia ambayo huwa inakuonyesha wenzako Wana maono au mawazo gani juu ya Jambo flani ambalo wewe unaamini vile unavyoamini.
Hivyo ni Kama mashindano.
Vp Fifa wangekuwa wanaruhusu wachezaji na na timu nzima kuingia uwanjani na silaha Kama virungu,mapanga,fimbo,CHUPA n.k.
Vp uwanjani pangekarika kweli!.