Tukivujishiwa video za wale waliokuwa wanaokotwa kwenye mifuko ya Sandarusi baharini hali itakuwaje?

wapinzani wa Tanzania ni wajinga Sana ni kakikundi ka wajinga fulani tu waliojikusanya baada ya kutoka kwenye msoto wa Maisha wanaojiita wapinzani ving'ang'anizi hawana elimu wala plan B yoyote Msigwa hana Elimu ameamua kukimbizana na Chadema, Mbowe hana elimu hawezi hata kupewa uwaziri, sugu ni mtepesho na Lema ni mwizi wa Magari wote ni hopeless

..Makengeza alipata zero form 6.

..Maza alipata zero form 4.

..yupi kamzidi mwenzake kielimu?
 
Umevimba nini sasa. Sema kama mwanaume sio unaumumuna mumuna.

Mlifikiri nyie pekee ndio mnaojua?

Hatahivyo hebu nenda ukanywe petroli halafu uje na more creative insult. Duh. You so outdated.
Wewe ni bwabwa
 
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu.

Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa, kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje.

Mungu apishe mbali.
Mimi Mnafiki Wa Kujitegemea ni mnafiki wa kujitegemea,sasa Watanzania wengi wana unafiki wa kupandikiziwa hivyo usiwaulize maswali magumu magumu kiasi hicho kwakuwa kufikiri kwao mpaka wapangiwe ni namna gani wanapaswa kufikiri na wanaweza wakaambiwa kuwa mkaa utokanao na miti una rangi nyeupe na kweli watakubali na kubeba mabango wakiimba kuwa mkaa utokanao na miti una rangi nyeupe.
 
siku video ya Mbowe akimtwanga risasi Chacha wangwe ikivujishwa itakuwaje siku Watu waliotumwa na Mbowe kumtwanga goroli Tundu Lisu ikivujishwa hadharan itakuwaje
Ni upuuzi uliopindukia kuwafahamu watu wanaotenda jinai na mkiwa na mamlaka halafu mnawaita Ikulu kunywa nao juice labda tu muwe sehemu ya mipango hiyo.
 
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu.

Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa, kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje.

Mungu apishe mbali.
Wale walikuwa washenzi wa siasa kali wa kule Rufiji waliotaka kutuletea masuala ya ugaidi, walishughulikiwa mapema na kwa uhakika na waliowatuma waliupata ujumbe wa kina.

Na umaskini huu tunayo mengi ya kutuumiza vichwa kuliko kuendelea kuwafikiria vichaa wa dini.
 
Mtoa hoja unajisahaulisha au labda hujui kweli?
Tatizo ni udini tu, hakuna
kuonea uchungu u tanzania wala utu wa mtu

Ni udini tu unawasumbua
 
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu.

Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa, kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje.

Mungu apishe mbali.
Chadema wengi watashitakiwa
 
Tuwaulize ndugu, jamaa, marafikI na Watanzania wote.

Jee ni hawa vijana wa Kitanzania wanaojifunza kilimo huko israel, au ni picha duka tu hii?👇🏾

IMG-20231219-WA0022.jpg
 
Tuwaulize ndugu, jamaa, marafikI na Watanzania wote.

Jee ni hawa vijana wa Kitanzania wanaojifunza kilimo huko israel, au ni picha duka tu hii?[emoji1484]

View attachment 2847071
Hamas hawana pa kujificha katika hili.Kinachonifurahisha tangu hii video itoke vijana wa mnyaazi wamehamisha focus kuwatetea hamas na si kuripoti ushindi wa Hamas.Saa hizi wamehamisha focus wako vatican
 
Back
Top Bottom