Mda mwingine uongozi ule🤔🤔
Najilazimisha kutabasamu angalau kujipa moyo kuwa labda ulikuwa na maono mazuri juu ya dira ya Kanchi ketu ka Michigani,lakini naambulia tabasamu kizunguzungu😴😴.
Mtu umeingia kwa kupigwa kura Tena baada ya kuzunguka Nchi nzima kunadi sera.
Baada ya kutwaa Senia,unaanza kukataza sinia kuuzwa madukani imladi tu sinia ubaki nalo mwenyewe tu🙄🙄.
Wapinzani wanachelewesha maendeleo🤓🤓,wakati mpinzani hajawahi kuongoza Michigani🤣🤣.
Bado sijapataga jibu,haswaa!.
Mungu mkubwa lakini,maana sipati picha Hali ya Sasa wangekuwaje waleeeeeeeeeee wa upande ule😲😲😲.Jina la bwana lihimidiwe kwa chawa wote.
Usimwamini mwanadamu hakika,kundi lile!.
Yuko wapi Ally Happy jamani