Tukivujishiwa video za wale waliokuwa wanaokotwa kwenye mifuko ya Sandarusi baharini hali itakuwaje?

Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas , bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu .

Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa , kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje .

Mungu apishe mbali
Kweli kabisa maana naona hili la Hamas na propaganda za Israel limeonekana kana kwamba wao ni makatili ila waliokuwa wanaua wenzetu Kwa mateso ni wema.

Vunisheni aisee Ili tuwajie wauaji na wanafiki.
 
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas , bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu .

Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa , kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje .

Mungu apishe mbali
Nimafisadi na wasaliti wa nchi na uzalendo ...hivyo wanatakiwa kutupwa hata baharini wakiwa hai ...mtu kama lissu au jambazi rostam wana achwa kuishwa kwa manufaa gani haswa
 
expand...siku video ya Mbowe akimtwanga risasi Chacha wangwe ikivujishwa itakuwaje siku Watu waliotumwa na Mbowe kumtwanga goroli Tundu Lisu ikivujishwa hadharan itakuwaje
Kwa mnavyomchukia kama ni kweli mbona siku nyingi Mbowe angeshakukumiwa kunyongwa hadi afe. Hii single ilifeli kitambo au ulikuwa hujajua kutumia smartphone
 
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu.

Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa, kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje.

Mungu apishe mbali.
Vujisa Sasa kwani Kuna shida
 
Unawahusisha Hamas kuua ndugu zetu na kuwatia katika viroba?
 
Wale walitiwa kwenye mifuko wakiwa hai halafu wakatupwa majini daah...

Bora hata risasi inakuua fasta hebu fikiria unatiwa kwenye gunia ukiwa hai huku ukisimangwa kwa kuwa mpinzani wa CCM halafu linafungwa au linashonwa kisha linatupwa Ruvu.
 
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu.

Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa, kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje.

Mungu apishe mbali.
Hata mimi ningeandamana. Hakuna mauti iliyoniuma kama ya mate wangu na Mgalanosi mwenzangu Ben Saanane.
 
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu.

Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa, kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje.

Mungu apishe mbali.
Watu watakimbiana
 
Hamasi wale walio mcharanga mlinzi wa dkt slaa ama sivyo!
 
Back
Top Bottom