Tukivujishiwa video za wale waliokuwa wanaokotwa kwenye mifuko ya Sandarusi baharini hali itakuwaje?

Kweli kabisa maana naona hili la Hamas na propaganda za Israel limeonekana kana kwamba wao ni makatili ila waliokuwa wanaua wenzetu Kwa mateso ni wema.

Vunisheni aisee Ili tuwajie wauaji na wanafiki.
 
Nimafisadi na wasaliti wa nchi na uzalendo ...hivyo wanatakiwa kutupwa hata baharini wakiwa hai ...mtu kama lissu au jambazi rostam wana achwa kuishwa kwa manufaa gani haswa
 
expand...siku video ya Mbowe akimtwanga risasi Chacha wangwe ikivujishwa itakuwaje siku Watu waliotumwa na Mbowe kumtwanga goroli Tundu Lisu ikivujishwa hadharan itakuwaje
Kwa mnavyomchukia kama ni kweli mbona siku nyingi Mbowe angeshakukumiwa kunyongwa hadi afe. Hii single ilifeli kitambo au ulikuwa hujajua kutumia smartphone
 
Vujisa Sasa kwani Kuna shida
 
Unawahusisha Hamas kuua ndugu zetu na kuwatia katika viroba?
 
Wale walitiwa kwenye mifuko wakiwa hai halafu wakatupwa majini daah...

Bora hata risasi inakuua fasta hebu fikiria unatiwa kwenye gunia ukiwa hai huku ukisimangwa kwa kuwa mpinzani wa CCM halafu linafungwa au linashonwa kisha linatupwa Ruvu.
 
Hata mimi ningeandamana. Hakuna mauti iliyoniuma kama ya mate wangu na Mgalanosi mwenzangu Ben Saanane.
 
Watu watakimbiana
 
Hamasi wale walio mcharanga mlinzi wa dkt slaa ama sivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…