Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Daah kama ni kweli waliofanya hivyo wao na vizazi vyao vilaaniwe.Wale walitiwa kwenye mifuko wakiwa hai halafu wakatupwa majini daah...
Bora hata risasi inakuua fasta hebu fikiria unatiwa kwenye gunia ukiwa hai huku ukisimangwa kwa kuwa mpinzani wa CCM halafu linafungwa au linashonwa kisha linatupwa Ruvu.
Naona uzi umewafufua🤣🤣🤣Hamasi wale walio mcharanga mlinzi wa dkt slaa ama sivyo!
Picha hutakaa uipate. Wanaipata wao tu🤣🤣Mda mwingine uongozi ule🤔🤔
Najilazimisha kutabasamu angalau kujipa moyo kuwa labda ulikuwa na maono mazuri juu ya dira ya Kanchi ketu ka Michigani,lakini naambulia tabasamu kizunguzungu😴😴.
Mtu umeingia kwa kupigwa kura Tena baada ya kuzunguka Nchi nzima kunadi sera.
Baada ya kutwaa Senia,unaanza kukataza sinia kuuzwa madukani imladi tu sinia ubaki nalo mwenyewe tu🙄🙄.
Wapinzani wanachelewesha maendeleo🤓🤓,wakati mpinzani hajawahi kuongoza Michigani🤣🤣.
Bado sijapataga jibu,haswaa!.
Mungu mkubwa lakini,maana sipati picha Hali ya Sasa wangekuwaje waleeeeeeeeeee wa upande ule😲😲😲.Jina la bwana lihimidiwe kwa chawa wote.
Usimwamini mwanadamu hakika,kundi lile!.
Yuko wapi Ally Happy jamani
Upinzani wanacheleweaha Nchi......Mtu mwenye akili unajiuliza How?Mda mwingine uongozi ule🤔🤔
Najilazimisha kutabasamu angalau kujipa moyo kuwa labda ulikuwa na maono mazuri juu ya dira ya Kanchi ketu ka Michigani,lakini naambulia tabasamu kizunguzungu😴😴.
Mtu umeingia kwa kupigwa kura Tena baada ya kuzunguka Nchi nzima kunadi sera.
Baada ya kutwaa Senia,unaanza kukataza sinia kuuzwa madukani imladi tu sinia ubaki nalo mwenyewe tu🙄🙄.
Wapinzani wanachelewesha maendeleo🤓🤓,wakati mpinzani hajawahi kuongoza Michigani🤣🤣.
Bado sijapataga jibu,haswaa!.
Mungu mkubwa lakini,maana sipati picha Hali ya Sasa wangekuwaje waleeeeeeeeeee wa upande ule😲😲😲.Jina la bwana lihimidiwe kwa chawa wote.
Usimwamini mwanadamu hakika,kundi lile!.
Yuko wapi Ally Happy jamani
😳😳😳😳Picha hutakaa uipate. Wanaipata wao tu🤣🤣
😅😅😅😅😅Upinzani wanacheleweaha Nchi......Mtu mwenye akili unajiuliza How?
🤣🤣🤣
Ni kweli matukio hayo pia yanafanana sana na hilo la kuuawa kwa hawa wa-Tanzania huko Israel, yanafanana sana.Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu.
Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa, kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje.
Mungu apishe mbali.
Pole mkuu,ila najua kwamba unajua ukweli.kama wewe ni mcha Mungu🤔🤔siku video ya Mbowe akimtwanga risasi Chacha wangwe ikivujishwa itakuwaje siku Watu waliotumwa na Mbowe kumtwanga goroli Tundu Lisu ikivujishwa hadharan itakuwaje
Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya UGAIDI na UISLAMU.Ukweli ni kuwa dini ya kiislam ni dangerous ideology hawa waty wanataka watengwe duniani kote hawawezi kukakaa na watu wengine .....
Alaaniwe Katibu mwenezi.Daah kama ni kweli waliofanya hivyo wao na vizazi vyao vilaaniwe.
wapinzani wa Tanzania ni wajinga Sana ni kakikundi ka wajinga fulani tu waliojikusanya baada ya kutoka kwenye msoto wa Maisha wanaojiita wapinzani ving'ang'anizi hawana elimu wala plan B yoyote Msigwa hana Elimu ameamua kukimbizana na Chadema, Mbowe hana elimu hawezi hata kupewa uwaziri, sugu ni mtepesho na Lema ni mwizi wa Magari wote ni hopelessMda mwingine uongozi ule🤔🤔
Najilazimisha kutabasamu angalau kujipa moyo kuwa labda ulikuwa na maono mazuri juu ya dira ya Kanchi ketu ka Michigani,lakini naambulia tabasamu kizunguzungu😴😴.
Mtu umeingia kwa kupigwa kura Tena baada ya kuzunguka Nchi nzima kunadi sera.
Baada ya kutwaa Senia,unaanza kukataza sinia kuuzwa madukani imladi tu sinia ubaki nalo mwenyewe tu🙄🙄.
Wapinzani wanachelewesha maendeleo🤓🤓,wakati mpinzani hajawahi kuongoza Michigani🤣🤣.
Bado sijapataga jibu,haswaa!.
Mungu mkubwa lakini,maana sipati picha Hali ya Sasa wangekuwaje waleeeeeeeeeee wa upande ule😲😲😲.Jina la bwana lihimidiwe kwa chawa wote.
Usimwamini mwanadamu hakika,kundi lile!.
Yuko wapi Ally Happy jamani
Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu.
Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa, kuteswa na kuuliwa na kisha kusokomezwa kwenye viroba na kutoswa baharini zikiachiwa hali itakuwaje.
Mungu apishe mbali.
Umepigaje hapo!wapinzani wa Tanzania ni wajinga Sana ni kakikundi ka wajinga fulani tu waliojikusanya baada ya kutoka kwenye msoto wa Maisha wanaojiita wapinzani ving'ang'anizi hawana elimu wala plan B yoyote Msigwa hana Elimu ameamua kukimbizana na Chadema, Mbowe hana elimu hawezi hata kupewa uwaziri, sugu ni mtepesho na Lema ni mwizi wa Magari wote ni hopeless
Mkuu sidhani Kama usemayo YANA ukweli ndani yake.wapinzani wa Tanzania ni wajinga Sana ni kakikundi ka wajinga fulani tu waliojikusanya baada ya kutoka kwenye msoto wa Maisha wanaojiita wapinzani ving'ang'anizi hawana elimu wala plan B yoyote Msigwa hana Elimu ameamua kukimbizana na Chadema, Mbowe hana elimu hawezi hata kupewa uwaziri, sugu ni mtepesho na Lema ni mwizi wa Magari wote ni hopeless
Qyuma la mamakoMbowe ni Hamas wa Tanzania limeua watu wengi Sana hili limakengeza
Ni hivi nikuambie hawa jamaa hawana plan yoyote ile katika maisha yao zaidi ya kuboboja tu walionja Vihela vya ubunge kwa miaka 5 na wengine 10 wamenogewa Sana na kwa sababu wametokea maisha ya umasikini uliopitiliza kwa mfano Msigwa alikuwa baba lishe amekondeana kama mgonjwa wa utapiamlo alipopata ubunge ndio akawa kijana na kwa sababu kuwa hana elimu angeteuliwa hata ukuu wa wilaya amengangana Lema naye alikuwa mwizi wa magari pale Arusha Hana elimu yoyote ubunge kwake ulikuw kuokota dhahabu hana plan B yaani Chadema wajanja woote wenye elimu woote wameondoka zimebaki kondoo na mburula mburula tuMkuu sidhani Kama usemayo YANA ukweli ndani yake.
Kina nappe wanapewa uwaziri irihali Hana elimu inayohusiana na Mambo hayo.
Nchi yetu ndo Nchi ambayo inaongozwa na makada wa vyama na sio wasomi.
Na ndo maana tunasema CCM ni janga la Taifa kwa katiba tuliyonayo.
Hautaweza kunielewa na huhitaji kunielewa Kama kweli una amini katika mawazo hayo ya chuki mkuu
Galanosi shule ya hayati Rais Mkapa na Prof. Mbilinyi!Hata mimi ningeandamana. Hakuna mauti iliyoniuma kama ya mate wangu na Mgalanosi mwenzangu Ben Saanane.