Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

Ndo nani na yupo nchi gani na anafanya nini?
 
Usichanganye Ukristo na wafanyabiashara wa Ukristo.

Ni hakika wote wajiitao manabii sijui mitume wote ni wafanyabiashara ndio maana wana ukwasi na hofu nyingi kiasi cha kulindwa
 
Usichanganye Ukristo na wafanyabiashara wa Ukristo.

Ni hakika wote wajiitao manabii sijui mitume wote ni wafanyabiashara ndio maana wana ukwasi na hofu nyingi kiasi cha kulindwa
Kanisa gani kubwa lisilo lindwa hasa usiku?
 
Basi na wewe acha milango wazi Wala usifunge na kofoli wala kitasa ili ulindwe
 
maana wanamwabudu mungu tumbo
 
Ni mfumo tu wa Mungu, hata huko Mbinguni kwa Mungu Mkuu kuna walinzi wanaomlinda Muumba wa vyote, ila hao walinzi wenyewe hawana ulinzi wa moja kwa moja.
Si kweli Mkuu .Biblia inasema hakuna kiumbe kinachoweza kumfikia Mungu maana amezungukwa na Nuru pande zote.
 
Reactions: K11
Duh watu mna akili za ajabu sana, ivi mnataka mkisikia kanisa yaan kuwe na maajabu maajabu tu. Kwa mfano kanisa lilindwe na damu ya yesu yaan hata vitu vilivyomo ndani mlivyonunua kwa pesa zenu msiweke walinzi.

Unasema watumishi wanalindwa na bodyguards kwani wew umezuiwa kuwa na bodyguards?

Suala la kulindwa na malaika ni kiroho ndugu mwandishi siyo kwamba uanzishe bifu huko baada ya kulewa ulanzi nikuchome na kisu eti usiumie malaika wazuie

Anyway, umejumuisha sana, huku maparokiani na makanisa madogomadogo sijawahi ona mtumishi ana bodyguards
 
Suala la kulindwa na malaika ni kiroho ndugu mwandishi siyo kwamba uanzishe bifu huko baada ya kulewa ulanzi nikuchome na kisu eti usiumie malaika wazuie
2Wafalme6:15Mtumishi wa Elisha alipoamka mapema kesho yake na kutoka nje, akaona jeshi pamoja na farasi na magari ya kukokotwa limeuzingira mji. Akarudi ndani akasema, “Ole wetu, ee, Bwana wangu! Sasa tutafanya nini?”
16Elisha akamjibu, “Usiogope kwa sababu walio pamoja nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao.” 17Kisha Elisha akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, umfumbue macho ili apate kuona!” Basi, Mwenyezi-Mungu akamfumbua macho huyo kijana, akaona farasi na magari ya moto yakiwa kila mahali katika mlima wote, kumzunguka Elisha.

Je huu ulikuwa ulinzi wa kiroho? pia u naweza endelea na kisa chote hadi elisha anawafaata na kuwaambia mmepotea njia.
Anyway, umejumuisha sana, huku maparokiani na makanisa madogomadogo sijawahi ona mtumishi ana bodyguards
Niwapi nimesema makanisa ya kijijni au parokia za vijijini wanalinda walinzi?Soma comment no15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…