vipi kuhusu wale swiss guards pale vatican city?. au vatican hakuna ukristo?Romani catholic Askofu au padre halindwi hata na mgambo. hata ukienda kwao hasa hizi parokia za vijijini hakuna walinzi kabisa amani amani tu.
Huu ndo ukristo wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kuhusu wale swiss guards pale vatican city?. au vatican hakuna ukristo?Romani catholic Askofu au padre halindwi hata na mgambo. hata ukienda kwao hasa hizi parokia za vijijini hakuna walinzi kabisa amani amani tu.
Huu ndo ukristo wenyewe
Ndo nani na yupo nchi gani na anafanya nini?Kama viongozi wa dini wangekua na mtindo wa maisha kama huyu padre hata nusu tu au robo tusingekuwa tunaongea hivi.
Huyu padre mission alizo zianzisha na anazo simamia lugha rahisi ya kumuita ni tajiri, ila ana uishi ufukara kwa unyenyekevu mkubwa.
View attachment 3240298
Ni dhahiri hujui unachoongeaPale MADINA(makka) wanaponenda kuhiji waislamu panalindwa na bunduki ulinzi ni mkali masaa24 ni zaidi ya ikulu wala hakuna ubishi.Ina maana mwenyezi Mungu hatoshi kupalinda pale hadi serikali iweke bajeti kubwa kwa ajiri ya kuparinda pale?
sawaNi dhahiri hujui unachoongea
Hapo nikweli kuna ulinzi mkali. lakini wale nilio taja hawana ulinzivipi kuhusu wale swiss guards pale vatican city?. au vatican hakuna ukristo?
SawaHutaki kujifunza unataka kubishana.
YoteNipo kwenye Imani ya Kikristo na ni Mkristo safi naenda Kanisa ila sio mpumbavu Kama nyinyi!
Ina maana makanisa yote ya nafanya hayo?
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume)
wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi.
Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao licha ya kuwa na Cctiv camera,walinz,i mbwa wa kali wa kizungu bado anakuwa na fensi ya umeme!!
Huku sisi hata mbwa koko hatuna tuna amini tunalindwa na Mungu na malaika zake kwanini hawa watumishi wasilindwe na malaika vilevile kama sisi?
Pale MADINA(makka) wanaponenda kuhiji waislamu panalindwa na bunduki ulinzi ni mkali masaa24 ni zaidi ya ikulu wala hakuna ubishi.Ina maana mwenyezi Mungu hatoshi kupalinda pale hadi serikali iweke bajeti kubwa kwa ajiri ya kuparinda pale?
Ebu tujiulize wao hawapendi kulindwa na malaika?
Au malaika ni dhaifu sana kuliko mbwa na bodyguard?
Kwanini makanisani tusisali na kuomba kuwa haya makanisa yalindwe na malaika na kuepusha michango kwa ajiri ya kulipa walinzi?
Je kuna sababu zozote za msingi hasa kimaandiko zinazo weza kutetea hili?
View: https://www.facebook.com/permalink.php?id=1034459669967235&story_fbid=3860610510685456
Kanisa gani kubwa lisilo lindwa hasa usiku?Usichanganye Ukristo na wafanyabiashara wa Ukristo.
Ni hakika wote wajiitao manabii sijui mitume wote ni wafanyabiashara ndio maana wana ukwasi na hofu nyingi kiasi cha kulindwa
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume)
wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi.
Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao licha ya kuwa na Cctiv camera,walinz,i mbwa wa kali wa kizungu bado anakuwa na fensi ya umeme!!
Huku sisi hata mbwa koko hatuna tuna amini tunalindwa na Mungu na malaika zake kwanini hawa watumishi wasilindwe na malaika vilevile kama sisi?
Pale MADINA(makka) wanaponenda kuhiji waislamu panalindwa na bunduki ulinzi ni mkali masaa24 ni zaidi ya ikulu wala hakuna ubishi.Ina maana mwenyezi Mungu hatoshi kupalinda pale hadi serikali iweke bajeti kubwa kwa ajiri ya kuparinda pale?
Ebu tujiulize wao hawapendi kulindwa na malaika?
Au malaika ni dhaifu sana kuliko mbwa na bodyguard?
Kwanini makanisani tusisali na kuomba kuwa haya makanisa yalindwe na malaika na kuepusha michango kwa ajiri ya kulipa walinzi?
Je kuna sababu zozote za msingi hasa kimaandiko zinazo weza kutetea hili?
View: https://www.facebook.com/permalink.php?id=1034459669967235&story_fbid=3860610510685456
Kiapo cha ufukaraKama viongozi wa dini wangekua na mtindo wa maisha kama huyu padre hata nusu tu au robo tusingekuwa tunaongea hivi.
Huyu padre mission alizo zianzisha na anazo simamia lugha rahisi ya kumuita ni tajiri, ila ana uishi ufukara kwa unyenyekevu mkubwa.
View attachment 3240298
Kuna kipind waislamu walikuwa wanaenda kuiba tebaraklum ya dhahabu ndio maana walinz wapokanisa na Nyumba ya padri inalindwa na umeme na mbwa wakali
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume)
wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi.
Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao licha ya kuwa na Cctiv camera,walinz,i mbwa wa kali wa kizungu bado anakuwa na fensi ya umeme!!
Huku sisi hata mbwa koko hatuna tuna amini tunalindwa na Mungu na malaika zake kwanini hawa watumishi wasilindwe na malaika vilevile kama sisi?
Pale MADINA(makka) wanaponenda kuhiji waislamu panalindwa na bunduki ulinzi ni mkali masaa24 ni zaidi ya ikulu wala hakuna ubishi.Ina maana mwenyezi Mungu hatoshi kupalinda pale hadi serikali iweke bajeti kubwa kwa ajiri ya kuparinda pale?
Ebu tujiulize wao hawapendi kulindwa na malaika?
Au malaika ni dhaifu sana kuliko mbwa na bodyguard?
Kwanini makanisani tusisali na kuomba kuwa haya makanisa yalindwe na malaika na kuepusha michango kwa ajiri ya kulipa walinzi?
Je kuna sababu zozote za msingi hasa kimaandiko zinazo weza kutetea hili?
View: https://www.facebook.com/permalink.php?id=1034459669967235&story_fbid=3860610510685456
Ni dhahiri hujui unachoongea
POABasi na wewe acha milango wazi Wala usifunge na kofoli wala kitasa ili ulindwe
Si kweli Mkuu .Biblia inasema hakuna kiumbe kinachoweza kumfikia Mungu maana amezungukwa na Nuru pande zote.Ni mfumo tu wa Mungu, hata huko Mbinguni kwa Mungu Mkuu kuna walinzi wanaomlinda Muumba wa vyote, ila hao walinzi wenyewe hawana ulinzi wa moja kwa moja.
2Wafalme6:15Mtumishi wa Elisha alipoamka mapema kesho yake na kutoka nje, akaona jeshi pamoja na farasi na magari ya kukokotwa limeuzingira mji. Akarudi ndani akasema, “Ole wetu, ee, Bwana wangu! Sasa tutafanya nini?”Suala la kulindwa na malaika ni kiroho ndugu mwandishi siyo kwamba uanzishe bifu huko baada ya kulewa ulanzi nikuchome na kisu eti usiumie malaika wazuie
Niwapi nimesema makanisa ya kijijni au parokia za vijijini wanalinda walinzi?Soma comment no15Anyway, umejumuisha sana, huku maparokiani na makanisa madogomadogo sijawahi ona mtumishi ana bodyguards