Tuko Milioni 60,Serikali kwanini isitulipe wananchi kila Mwezi milioni 1 ambazo kwa ujumla itakuwa milioni 60?

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Ukihitaji salamu subiri kwanza nilipwe Milioni 1 yangu,Tofauti na hapo utaula wa chuya!


Watanzania tuko milioni 60,kwanini serikali isilitulipe kila mtanzania milioni 1 kila mwezi?,Mbona ni hela ndogo tu hiyo!.

Watu milioni 60 × 1 milioni kila mwezi = Milioni 60.

Nadhani hii iwekwe kwenye katiba

Au mnasemaje wananzengo😂😂
 
Nimecheka sana aseee 🤣🤣🤣🤣🤣. Hesabu umekosea hapo

1,000,000 * 60,000,000 = 60,000,000,000,000 hiyo ni 60 Trillion nchi itatoa wapi hiyo hela.

Ni sawa na 24 billion dollars per month
 
Boya kweli wewe
 
labda kila mtanzania shilingi 1
 
TUKANA UONE naomba mods msifute huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…