Tuko Milioni 60,Serikali kwanini isitulipe wananchi kila Mwezi milioni 1 ambazo kwa ujumla itakuwa milioni 60?

Tuko Milioni 60,Serikali kwanini isitulipe wananchi kila Mwezi milioni 1 ambazo kwa ujumla itakuwa milioni 60?

shule yako ilienda kushoto sana aisee. kwahiyo milion 60,000,000 gawanya kwa watu milion 60,000,000 sawasawa na milioni moja?
Siyo kwamba wewe ndo hukwenda Shule?

Hili Jukwaa umelisoma vizuri? Au Umechoropoka chooni na mavi kichwani ukaona uje ukomenti ili Bibi yako FaizaFoxy akupikie Viazi?
 
🤣🤣🤣 Hili swali ukiuliza kule fb watu wengi sana watamuunga mkono,
Bila kujua milioni sitini mara milioni moja ni ngapi.
 
Unajua Hakuna kitu Cha kipuuzi, Kama kujiona mwenye haki.
👉Nani kakupa haki ya kuhukumu??, Au ndo bangi na Stimu zenu 🤔
👉Punguza mishisha we bi bichwa
Sasa mnaanza kujitetea kijinga. Mwenye akili anasema "nilifanya kosa nalirekebisha". Simpo.
 
Back
Top Bottom