Tuko Milioni 60,Serikali kwanini isitulipe wananchi kila Mwezi milioni 1 ambazo kwa ujumla itakuwa milioni 60?

mawazo yangu mimi ni tofauti na yako. mimi nasema, kama wasingekuwa ni majizi, si wangetuambia tu kila mmoja achange laki moja, tufanye watu wazima tupo 30m tu, mara 100,000 unapata trilion 3. hizo mbona kama zitafanya kitu kikubwa sana. shida ni kwamba, wataiba.
 
Ulisoma hesabu darasa la kwanza mjinga kabisa
 
Huna akili period.60,000,000*1,000,000 ni milioni 60 ?
 
Mkuu hata kama hesabu hatujui ila hapa umeonyesha umbulula wa kiwango cha lami
 
Sio kweli hesabu yako
 
Ikitengwa hiyo Tsh 60 Milion wewe itabidi upewe Senti Moja (01 Cent) ili na wenzio wapate sawa sawa.
Ebu Twambie utaifanyia nini hiyo Senti 1 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…