Tuko Milioni 60,Serikali kwanini isitulipe wananchi kila Mwezi milioni 1 ambazo kwa ujumla itakuwa milioni 60?

Watu million 60 ukiwalipa kila mtu shillingi moja ndiyo unatumia million 60
Ukiwalipa kila mtu million moja, unatumia kiasi cha fedha TZS 60,000,000,000,000 /= ambacho ni Triilion 60; kiasi ambacho ni mara mbili ya bajeti ya nchi yetu kwa mwaka mzima
Najua unafanya utani ila nimeamua kukujibu usije ukapotosha na wengine
 
Kwa kweli hesabu kazi! Umeamua kuunga juhudi ya TUKANA UONE au na wewe mahesabu ni baba mkwe?
Shida una jikuta genius Kwenye upuuziπŸ€£πŸ€’.
πŸ‘‰SI kill mtu ana jua Hilo, na calculator tunazo, nime fanya hivyo kusapoti Uzi tu.
 
Ili tulipwe watu wote inabidi tulipwe sh 1 kila mtu ndio inakuja hiyo miloni 60 yako,umeelewa hapo?!
 
Hizo hesabu niza kijijini kwenu!
 
Tumetumikia Taifa zaidi ya miaka 40 na pension tunapewa laki mbili kwa mwezi, wewe unaota upewe milioni bure bure tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…