Tuko Milioni 60,Serikali kwanini isitulipe wananchi kila Mwezi milioni 1 ambazo kwa ujumla itakuwa milioni 60?

Nimecheka sana aseee 🤣🤣🤣🤣🤣. Hesabu umekosea hapo

1,000,000 * 60,000,000 = 60,000,000,000,000 hiyo ni 60 Trillion nchi itatoa wapi hiyo hela.

Ni sawa na 24 billion dollars
Mkuu hii hesabu ya wapi?,wewe ulikimbia hesabu ya mwalimu Mtweve

Watu milioni 60 x milioni 1 = 60 milioni
 
wakati wenzako wanasoma hisabati wewe ulikua unasugua mbegu za ubuyu ili uwachome nazo..
Haaa haaa haaa nilikuwa sehemu serious halafu nimecheka kwa sauti sanaaaa daaaah hii kitu kilikuwa cha ajabu Sanaa
 
Hii hesabu hata Mama Abdul haiwezi kuisoma vizuri japo umekosea kuzidisha
 
Mkuu tumia tarakilishi basi kupiga hiyo hesabu kisha njoo unifuate
 
Vichwa vyenu ni [empty set] ...Hapa mtu ana degree na analia ajira... Hesabu mikazo zero...
 
Wanazitoa wapi?
 
Vichwa vyenu ni [empty set] ...Hapa mtu ana degree na analia ajira... Hesabu mikazo zero...
 
Mkuu inaelekea wewe na hesabu ni 0.
Watu 60,000,000 x 1,000,0000 = 60,000,000,000,000. Hiyo ni sawa na tillion 60. Almost budget ya TZ mwaka mzima ikiwemo misaada na mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…