Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

[emoji23][emoji23][emoji23]ila ushauri wa humu unatia kichwa moto

Huwa unamtia vizuri?

Yupo na Ma-Ex wake wanaomkojoza

Unasepa binamu anaitumia mpaka arobaini iishe

Zamu ya mabinamu kuhudumiwa

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha
 
Kama hii si chai wew si mwanaume mwanaume gan wew unaenda eti kwenye msiba wa babu wa mke wako very stupid sawa hata Kama umelazimishwa Sana ungeenda siku ya kuzika Kama n mbali kulikuwa hamna ulazima wa kwenda yan babuuu tena wa mkee
 
Kwema wazee?
Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake.ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu,yani wife ni kama hanijui vile,hajui nimekula au sijala,toka nije hii siku ya tatu sijaoga wala kubadilisha nguo,hajui nalala wapi na yeye ananiangalia tu..ila cha ajabu kuna majamaa naona wanaitana binamu anawahudumia vizuri hadi naona wivu,sema ndiyo hivyo siwezi kuhoji kwa sasa.
Nimepanga kesho wakishazika tu,nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi,atanikuta Town.
Fanya hvo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kafiwa na babu we ulienda kufanya nn...siku 3 bila kuoga msiba wa babu yake wife? Akifiwa na baba ake si ndo utakaa mpaka waanue matanga? Kweli mwanaume usipokuwa mwanaume unaliwa na wanaume.
Hana kazi huyu...msiba wa babu wa wife hata kwenda siendi,nitatuma pesa tu.
 
Kwema wazee?
Tuko ukweni huku msibani, wife kafiwa na babu yake.ila hapa msibani pameshanishinda na natamani kurudi zangu kwangu,yani wife ni kama hanijui vile,hajui nimekula au sijala,toka nije hii siku ya tatu sijaoga wala kubadilisha nguo,hajui nalala wapi na yeye ananiangalia tu..ila cha ajabu kuna majamaa naona wanaitana binamu anawahudumia vizuri hadi naona wivu,sema ndiyo hivyo siwezi kuhoji kwa sasa.
Nimepanga kesho wakishazika tu,nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi,atanikuta Town.
Pole sana ila usijali mimi hadi watoto walikua wanalia mama tunaenda kulala na baba. Maana waliona kabisa nilivyokua mpweke. Ondoka kabla hujaleta msiba mwingine best.

Nashukuru sasa niko single naenjoy
 
Aseeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiii io io uwiiii
 
Back
Top Bottom