Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

hivi babu tu, mkwe anafunga safari....si angempa tu wife nauli na rambirambi.
halafu sijui atakua mkwe kapuku make wakwe hawashtushwi na uwepo wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ila ushauri wa humu unatia kichwa moto

Huwa unamtia vizuri?

Yupo na Ma-Ex wake wanaomkojoza

Unasepa binamu anaitumia mpaka arobaini iishe

Zamu ya mabinamu kuhudumiwa

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha
 
Kama hii si chai wew si mwanaume mwanaume gan wew unaenda eti kwenye msiba wa babu wa mke wako very stupid sawa hata Kama umelazimishwa Sana ungeenda siku ya kuzika Kama n mbali kulikuwa hamna ulazima wa kwenda yan babuuu tena wa mkee
 
Fanya hvo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kafiwa na babu we ulienda kufanya nn...siku 3 bila kuoga msiba wa babu yake wife? Akifiwa na baba ake si ndo utakaa mpaka waanue matanga? Kweli mwanaume usipokuwa mwanaume unaliwa na wanaume.
Hana kazi huyu...msiba wa babu wa wife hata kwenda siendi,nitatuma pesa tu.
 
Pole sana ila usijali mimi hadi watoto walikua wanalia mama tunaenda kulala na baba. Maana waliona kabisa nilivyokua mpweke. Ondoka kabla hujaleta msiba mwingine best.

Nashukuru sasa niko single naenjoy
 
Aseeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiii io io uwiiii
 
Nimepanga kesho wakishazika tu,nadandia roli la mnadani nasepa zangu hata wife simuagi,atanikuta Town.


Tatizo limeanzia hapo kwenye ukitaka kuondoka "utadandia roli la mnadani".


Nunua hata ki-passo cha kuzugia mkuu[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…