Tukubabali au tusikubali, Hayati Magufuli alikuwa mkombozi wetu


jibu hoja unakuwa kama wanasiasa.
Kipindi cha corona ndyo tungetegemea maisha yangekuwa magumu sana lakini Magu alidhibiti kila kitu.
Hii ina mahusiano gani na vyombo vya habari

Haya endelea kupata habari kamili uku gunzi la ugumu wa maisha limeng'ang'ania matakoni.

Haya endelea kupata habari kamili uku gunzi la ugumu wa maisha limeng'ang'ania matakoni.
Kipindi cha Magufuli maisha yalikuwa magumu kweli kweli, bora sasa hivi hali iko poa
 
Kwa hiyo mmekata tamaa baada ya mkombozi wenu kufariki?
Poleni sana.

Pia mkumbuke kuwa, Magufuli huyo huyo kwa watu wengine wengi alikuwa ni muuaji, mkatili, Dikteta, mfilisi na shetani.
Katika watu milioni 60 huwezi kukosa wapumbavu wachache kama 10 hivi wanaomuona muuji, na dikteta.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Ok kumbe ni kwa ukoo wako sawa

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mkopmbozi wetu Tanzani ni Hayati MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE na si vinginevyo.
 
Prof Lumumba alimkubali sana JPM siyo kwa kiingereza Bali kwa uzalendo na mapenzi ya dhati ya nchi hii, Leo bei za mafuta zimepandà sana lakini wenye bajaji huko moshi wanakatazwa kupandisha nauli zitaumiza wananchi????
 
Watu wasiojulikana mmekosa matonge ya mwendazake.
Mauaji ya bomu la olasiti nayo Ni magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?,mauaji ya imrani kombe nayo Ni magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ? Mauaji Dr.mvungi nayo Ni magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
 
Lilikuwa ni kwapu kwapu,wacha lipate malipo yake huko kuzimu.
 
Kwa nini umpige risasi mchaguliwa mwenzio kisa tu unamzidi cheo?
 
mkombozi wenu

ishu ni kwamba kipindi kile ilikuwa ni ngumu kutoa habari hasi kwa serikali sababu vyombo vya habari havikuwa huru
 
on Prof Lumumba alimkubali sana JPM siyo kwa kiingereza Bali kwa uzalendo na mapenzi ya dhati ya nchi hii, Leo bei za mafuta zimepandà sana lakini wenye bajaji huko moshi wanakatazwa kupandisha nauli zitaumiza wananchi????
Sometimes you must be smart, the guy was a head of the state kwanini asisifiwe na Prof Lumumba? Ukweli lazima ubakie kuwa ukweli hakuwa anajua kiingereza, strangely ndiyo lugha aliyotumia kuandika dissertation and his thesis na aliyosomea kutoka form 1. Mbona wenzake wanajua?
 
Matendo yake asilimia 80% yalikuwa ni ujambazi na utapeli kwa nchi hii mfano;1.Kuzima BUNGE laivu huo ni ujambazi,2.Kufuta mikutano ya kisiasa wakati akiendelea na siasa miaka yote mitano huo ni ujambazi,3.Kumpiga TUNDU LISSU risasi,kumnyima matibabu na kumvua ubunge,4.Kumwondoa CAG kabla ya muda kisa tu amegusa kwenye 1.5 trilioni huo ni utapeli na ujambazi,5.Kubariki uchaguzi 2019 wa Serikali za mitaa kuwa wa chama kimoja huo ni ujambazi,6.Kuchafua uchaguzi wa Octoba 2020 huo ni ujambazi,7.Kuwaaminisha wananchi mbumbumbu kama wewe kuwa tuliibiwa sana wakati muda wote alikuwa kwenye kundi la waizi ccm huo ni ujambazi,8.Kusema Tanzania hakuna korona wakati dunia nzima ikiathirika na korona huo ni ujambazi,9.Kujenga Chato kuwa IKULU na Jiji kwao alikozaliwa yeye huo ni ujambazi, na mwisho 10.Kupendelea teuzi nyingi kutoka Kanda ya Ziwa kwao anakotokea huo ni ujambazi.
 
Mazingira ya kusomea ni tofauti ndiyo maana wengine huweza na wengine hapa lkn pamoja na matatizo hayo alikuwa anaweza kuwasiliana kwa kutumia lugha hiyo hata hivyo wakuu wengi tu hawaerzi kabisa kuongeza kiingereza,lkn kwa ujumla JPM alikuwa na akili juu ya uwezo wa kawaida.
 
Ni kama nimekuelewa hivi japo umezunguza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…