Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sasa habari ambazo hawataki uzisikie hutozisikiKuminya uhuru wa vyombo vya habari kulificha madudu mengi enzi za JPM..
Weka orodha ya watu waliouawa na Magufuli tuone!Unataka upewe orodha ili uifanyie nini, umeshafaidika na ule utawala wa kidhalimu, hivyo kwa sasa kaa kwa kutulia.
Tunahitaji jambazi aje apambane na majambazi ya mizoga.Matendo yake asilimia 80% yalikuwa ni ujambazi na utapeli kwa nchi hii mfano;1.Kuzima BUNGE laivu huo ni ujambazi,2.Kufuta mikutano ya kisiasa wakati akiendelea na siasa miaka yote mitano huo ni ujambazi,3.Kumpiga TUNDU LISSU risasi,kumnyima matibabu na kumvua ubunge,4.Kumwondoa CAG kabla ya muda kisa tu amegusa kwenye 1.5 trilioni huo ni utapeli na ujambazi,5.Kubariki uchaguzi 2019 wa Serikali za mitaa kuwa wa chama kimoja huo ni ujambazi,6.Kuchafua uchaguzi wa Octoba 2020 huo ni ujambazi,7.Kuwaaminisha wananchi mbumbumbu kama wewe kuwa tuliibiwa sana wakati muda wote alikuwa kwenye kundi la waizi ccm huo ni ujambazi,8.Kusema Tanzania hakuna korona wakati dunia nzima ikiathirika na korona huo ni ujambazi,9.Kujenga Chato kuwa IKULU na Jiji kwao alikozaliwa yeye huo ni ujambazi, na mwisho 10.Kupendelea teuzi nyingi kutoka Kanda ya Ziwa kwao anakotokea huo ni ujambazi.
Kwa vile mtekelezaji mkuu wa mauaji ni wewe.Weka orodha ya watu waliouawa na Magufuli tuone!
Si mnasema ni muuaji
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mkombozi wa kanda ya ziwa na wanyonge ni Magufuli!!!Mkopmbozi wetu Tanzani ni Hayati MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE na si vinginevyo.
Nanoi huyo anaejua kiingereza ukimtoa Nyerere na mkapa??Sometimes you must be smart, the guy was a head of the state kwanini asisifiwe na Prof Lumumba? Ukweli lazima ubakie kuwa ukweli hakuwa anajua kiingereza, strangely ndiyo lugha aliyotumia kuandika dissertation and his thesis na aliyosomea kutoka form 1. Mbona wenzake wanajua?
Alikuwa anakuja kuomba chakula kwako?Alikuwa mkombozi wako ww na family yako na watu wako, kwangu mimi alikuwa mnyang'anyi! Alikuwa katili, alikuwa dhulumati! Kwangu mimi na family yangu na ukoo wangu na ndugu na jamaa zangu wote walikuwa waathirika wa magufuli, nili furahi alipolala yooo na ninasema am happy now Mimi na family na ukoo wangu na ndugu zangu na jamaa zangu wote we are so happy now.
Umestaarabika yakhee!Alikuwa mkombozi wako ww na family yako na watu wako, kwangu mimi alikuwa mnyang'anyi! Alikuwa katili, alikuwa dhulumati! Kwangu mimi na family yangu na ukoo wangu na ndugu na jamaa zangu wote walikuwa waathirika wa magufuli, nili furahi alipolala yooo na ninasema am happy now Mimi na family na ukoo wangu na ndugu zangu na jamaa zangu wote we are so happy now.
Yawezekana hujaelewa somo.Hivi sukari ilipanda bei wakati Gani? mbona mnapenda sana kumkuza JPM?
Uchumi ulipanda sababu tu ya Miradi mingi kujengwa say SGR, JNHEP, Bombardiers, Kibaha highway etc so kwenye GDP unaonekana component ya investment inapanda juu even though faida za moja kwa moja hazijaonekana maana Miradi haijakamilika.
Kingine TRA ilikua inakamua wafanyabiashara so walikua hawachukui faida ila mpaka mtaji so obvious mwanzoni Hazina lazima ijae pesa ila long run ndio wafanyabiashara wanapungua na ajira kuisha, mwisho wa siku ndio uchumi unaanza kuona effects za kupungua wawekezaji!!
Kingine JPM alicheza na media sana, mfano ajali za vivuko,matetemeko, sijui lucky Vincent zilitokea awamu Gani? Wanajeshi wetu huko DRC zaidi ya 20 waliuawa awamu Gani? Ila kwa sababu media ziliminywa zikawa haziripoti mara kwa mara hizi ajali labda social media tu so ikajengwa perception kuwa ajali ziliisha.
Kuhusu umeme performance audit ya CAG ilionyesha mashine zilikua overrun zaidi ya scheduled maintenance Ili tu kufurahisha JPM madhara yake imebidi zifanyiwe maintenance sahivi hadi kusababisha umeme ukatike katike sana. Sasa hapo Nako mnamsifia JPM? au mnashauri na Makamba asingefanya maintenance ilimradi tu umeme usikatike mfurahi?
Hayo yaliyobaki ni media propaganda tu kuliko uhalisia..... Mfano uchumi wa kati tulioingia ulikua Low-Middle Income yaani uchumi wa kati wa CHINI So haikua sustainable lakini tungefika uchumi wa kati wa JUU hapo tungesema tumeporomoka sana.
Msikuze mambo sana JPM was average but branding ilikua kubwa kuliko uhalisia.
Je sasa Uhuru wa vyombo vya habari umeongeza nini kwenye pato la wananchi?Kuminya uhuru wa vyombo vya habari kulificha madudu mengi enzi za JPM..
Huna hoja kwenye phrase yeyote. He was better than this.Soma vizuri hiyo phrase "elimu aliyoisomea kwa kiingereza"
Jamani mbona hayo juu yalikuwa ni mlolongo mrefu wa malani(ilani) ya chama cha alichokuwa anawakilisha.Matendo yake asilimia 80% yalikuwa ni ujambazi na utapeli kwa nchi hii mfano;1.Kuzima BUNGE laivu huo ni ujambazi,2.Kufuta mikutano ya kisiasa wakati akiendelea na siasa miaka yote mitano huo ni ujambazi,3.Kumpiga TUNDU LISSU risasi,kumnyima matibabu na kumvua ubunge,4.Kumwondoa CAG kabla ya muda kisa tu amegusa kwenye 1.5 trilioni huo ni utapeli na ujambazi,5.Kubariki uchaguzi 2019 wa Serikali za mitaa kuwa wa chama kimoja huo ni ujambazi,6.Kuchafua uchaguzi wa Octoba 2020 huo ni ujambazi,7.Kuwaaminisha wananchi mbumbumbu kama wewe kuwa tuliibiwa sana wakati muda wote alikuwa kwenye kundi la waizi ccm huo ni ujambazi,8.Kusema Tanzania hakuna korona wakati dunia nzima ikiathirika na korona huo ni ujambazi,9.Kujenga Chato kuwa IKULU na Jiji kwao alikozaliwa yeye huo ni ujambazi, na mwisho 10.Kupendelea teuzi nyingi kutoka Kanda ya Ziwa kwao anakotokea huo ni ujambazi.
Hili Lina tija Gani? Yaani serikali kuhamia Dodoma ni mafanikio? Au ni gharama tu kwa raia maskini?IKULU kuhamia Dodoma nk.
Acha unafiki!! Hizo Mali nyingi ziliporwa maana zamani ilikua chama kimoja sasa tokea vyama vingi vije ilipaswa hizo Mali zirudishwe kwa Umma maana walitumia pesa za walipakodi kujengea say viwanja vya mpira, Majengo n.kMapato ya chama yalipaa kutoka milioni 50 hadi trion moja na nusu maana ccm walidhiodhi kitapeli,
Walikodisha vibanda kwa kwa laki nusu na kulipa ofisi za ccm elf25,
Hujakosea, ni kweli alikuwa muuaji kwa wezi,majambazi, panya road na ndiomana alifanikiwa kuyapunguza,mkatili, dikteta kwa kusimamia sheria na kutocheka cheka na wazembe selikalini. mfilisi kwa matapeli na wezi waliofilisi nchi hii we ulitakaje?😎Kwa hiyo mmekata tamaa baada ya mkombozi wenu kufariki?
Poleni sana.
Pia mkumbuke kuwa, Magufuli huyo huyo kwa watu wengine wengi alikuwa ni muuaji, mkatili, Dikteta, mfilisi na shetani.