Tukubabali au tusikubali, Hayati Magufuli alikuwa mkombozi wetu

Tutafanyaje sasa,acha tu tukuunge mkono tupinge,tumkejeli mzee baba ili tuonekane sisi ni wagumu 😂
 
Hakua na ukombozi wowote yule shetani
 
Sijui huyu mtu alitokea wapi aisee!!!Hivi mnajua matatizo yote haya yaliletwa na mwendazake?

Lile genge la ukabila na ukaanza ukabila nchini alileta huyu mtu! Ni mtu hatari sana alikua huyu jamaa

Leo hii makovu,na maumivu yalisababishwa na mwendazake

Angalia mama anavyopata shida kujenga umoja wa kitaifa sasa hivi kuna jamii ya washamba flan hv wanajiona wao ni special cacke kwa kua walizoea kudekezwa na bwana yule yaani ni tabu kweli kweli, hata wasomeje hawaelimikagi wapo wapo tu

Tuna safari ndefu sana yote haya alileta huyo mwendazake wenu

Kuna msemo mmoja huwa nasema nyani ni nyani tu hata umlete mjini hawezi staarabika kamwe same na hilo gang wapo na hizi features na huko kwao

Nchi yetu inahitaji umoja na mshikamano ndugu zangu ukabila ni mbaya sana au hata ukanda, ila magufuli alileta ukabila nchi hii na uchato

Kila kitu sasa wa kulaumiwa ni magufuli, huwa najiuliza kwanini ee mungu uliruhusu akawa rais?maana ni mateso tu hakua na faida yoyote ile tena inabidi hata kwenye katiba iandikwe kabisa kwamba isitokee tukawa na watu kama magufuli au hata huko akatoka kiongozi FULL STOP
 
Lakini corona ilimfyeka!!!!
 
Lalamikieni katiba mbovu maana kwa katiba hii mbovu tuliyonayo hata huyu rais wa sasa au ajaye akiamua kuwa dikteta atakuwa tu maana katiba inampa hayao mamlaka. NDIYO MAANA NCHI HII INAONGOZWA NA UTASHI WA MTU MTU MMOJA WALA SIYO MIFUMO IMARA.
 
Yawezekana ulikuwa bado hujazaliwa, wakati wa huyo jk ndipo umeme ulipokuwa unakatika karibu kila dakika kadhaa, lakini hali hiyo ya kipuuzi ilidhibitiwa na JPM.
Sasa hali inarudi kule kule.
Jibu swali Mradi wa umeme kutumia gesi ulibuniwa Awamu Gani? Je tokea uhuru kumewahi kuwa na umeme wa gesi? Hvi angefanya magufuli si ndio mngesema kavunia rekodi kujenga Bomba la gesi na kuleta umeme wa gesi kitu ambacho hakijawahi tokea tokea uhuru!!!

Airport ilipanuliwa na nani? Je tokea uhuru Airport iliwahi kupanuliwa??

Vipi mwendokasi imewahi tengenezwa tokea uhuru kama sio awamu ya nne? Angekua JPM si mngetambaa hapa hadi chato!!

Hivi awamu Gani ilijenga barabara Kila Kona ya nchi? Iliwahi fanyika tokea uhuru?

Punguzeni utoto Kila kiongozi ana milestone zake so msikuze mambo eti tokea uhuru sijui kavunja rekodi n.k
 
Ndugu mbona unaongea kwa jaziba kubwa?
Mimi niluongea taarifa yao ya kifedha maana upigaji kwenye chama chao ulikuwa si sawa! Mali zao ni nyingi lakini kipato kilikuwa kidogo!
Sababu unayosema ya kurudishwa kwa UMMA haikuwa kazi yake
 
Magufuli was a monster of his own.
 
Siasa za kwenye mitandao zinawaponza kuamini kuwa JPM alikuwa hapendwi ..
Mlio na access ya mitandao ni wachache kati ya watanzania weng.
Hivyo main yenu na chuki zenu Kwa JPM si sahihi.

Uzalendo wa jpm Kwa taifa hili ulikuwa wa kiwango Cha juu mno.
 
Yes! Wenye access ya mitandao ni wachahe sana! Tutaona tathmini kila kukicha
 
Wewe ni muongo kwa sababu Magufuli mwenyewe anadai kuwa mkombozi ni Mbowe.
Your browser is not able to display this video.
 
Siasa za kwenye mitandao zinawaponza kuamini kuwa JPM alikuwa hapendwi ..
Mlio na access ya mitandao ni wachache kati ya watanzania weng.
Hivyo main yenu na chuki zenu Kwa JPM si sahihi.

Uzalendo wa jpm Kwa taifa hili ulikuwa wa kiwango Cha juu mno.
Kumbe wanaotumia mitandao ni maroboti hawaishi mtaani?

Mbona msiba wake mlidai ulifuatiliwa na watu billion 1 kupima umaarufu wake ila akikosolewa mnasema mitandaoni ni kelele tu?
 
Ndugu mbona unaongea kwa jaziba kubwa?
Mimi niluongea taarifa yao ya kifedha maana upigaji kwenye chama chao ulikuwa si sawa! Mali zao ni nyingi lakini kipato kilikuwa kidogo!
Sababu unayosema ya kurudishwa kwa UMMA haikuwa kazi yake
Nmeshangaa unasifia ukaguzi wa Mali ya wizi!! Badala ya kuwashauri wairudishe kwa raia.

Sheria inataka open space ziachwe ila CCM wakahodhi zote na kujenga mifremu na kumbi. Badala upinge huo ufisadi eti unasifia fremu zinalipiwa Kodi stahiki!!

Mnahalalisha ufisadi?
 
Yes! Wenye access ya mitandao ni wachahe sana! Tutaona tathmini kila kukicha
Kama unajua sampling then lazima uogope.... Kma waliopo mtandaoni wote wanakosoa JPM Ina maana access ikiongezeka basi waliokua hawampendi watajitokeza zaidi.

Hmu watu wanafunguka coz identity haionekani.... Mfano Mimi ukinikuta uraiani siikosoi CCM kwa nature ya cycle yangu ila nikija humu ndio nafunguka!!!

Usishangae ID nyingi humu mnazoona za upinzani ukakuta za Wana CCM rejea mambo ya kigogo2014 kuhusishwa na Makamba and nape!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…