johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata kama Freeman Mbowe atastaafu uenyekiti wa Chadema mwezi Desemba mchango wake kwa taifa hili hautasahaulika kwa tunaojua siasa.
Mchango wa Mbowe umejikita katika kuwapika na kuwaandaa vijana kuwa viongozi imara na wa kutegemewa na taifa.
Kwa mfano Naibu mawaziri Juliana Shonza na Mwita Waitara ambao leo ni tegemeo la serikali katika wizara zao ni products za Mbowe.
Turudi kwa Prof Kitila ambaye ni nguzo tunayoitegemea katika sekta ya maji ni zao la Mbowe. Kadhalika Dr Anna Mghwira ambaye ameufanya mkoa wa Kilimanjaro utulie amepita katika mikono ya Freeman.
Turudi kwa yule " mpiga filimbi" wa escrow ambaye CCM inamtegemea huko mkoani Songwe ni zao la Mbowe.
Turudi kwa wapinzani huyu Zitto Kabwe na mwenzie Tundu Antipas Lisu ambao ni maarufu sana kwenye siasa za upinzani wamepitia kwa Freeman.
Na hata yule mwanahabari nguli pale Tanzanite media mh Mchange ni product ya Mbowe
Kwa ufupi ni kwamba Mbowe ameirahisishia sana CCM kiasi kwamba sasa siyo lazima kijana apitie Uvccm ndio aaminike anaweza kuchukuliwa tu direct kutoka Chadema na kukabidhiwa majukumu ya serikali.
Mwita Waitara hakufanya vizuri alipokuwa uvccm lakini alipofika Chadema alibadilishwa na CCM kumtamani na kumchukua.
Hata yule Kibajajji wa Mtera mbinu za kuangusha mbuyu alitokanaxo Chadema kwa Mbowe.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.......Mbowe amekuwa na msaada mkubwa kwa serikali.
Maendeleo hayana vyama!