Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,073
- 6,909
Achukue form ya kuendelea kuwa mwenyekiti au aache?Mbowe ni kiongozi mzuri ila kwa sasa amezungukwa na washauri wabaya
Achukue form ya kuendelea kuwa mwenyekiti au aache?Mbowe ni kiongozi mzuri ila kwa sasa amezungukwa na washauri wabaya
Achukue form ya kuendelea kuwa mwenyekiti au aache?
Ulipokosea ni hapo ulipo sema "kiongozi mzuri "..hujui mipaka ya Kazi yakoMbowe ni kiongozi mzuri ila kwa sasa amezungukwa na washauri wabaya
Unajua mbowe ujuzi wote huo anautoa kwa wazee wa ccm,nyie endeleeni kuchezewaTukiwaambia Mbowe ni mwanaume hamuelewi!sio hao tu!
Huyu kapikwa na NCCR -MageuziTundu Antipas Lisu ambao ni maarufu sana kwenye siasa za upinzani wamepitia kwa Freeman.
Washauri wabaya wametoka wapi??Mbowe ni kiongozi mzuri ila kwa sasa amezungukwa na washauri wabaya
Washauri wabaya wametoka wapi??
Kipindi wanamshauri vibaya wewe huwa unashirikishwa??Kina Lema wanamshauri vibaya
Kipindi wanamshauri vibaya wewe huwa unashirikishwa??
Ubaya wa lema wewe unaujuaje??Habari tunapata Mkuu
Ubaya wa lema wewe unaujuaje??
Dar......nawaona...hongereni sana mkuu!wapi huko
Mbowe ni kiongozi mzuri ila kwa sasa amezungukwa na washauri wabaya
Mvuto gani??Chama kinapoteza mvuto
Mvuto gani??
Siasa siyo UaduiMchawi MPE mtoto amlelee
najiuliza kuna nn kimetokea hadi huyu mnafiki anamsifia Kamanda Mbowe!
Wewe ndio mnafiki bwashee!Acha unafiki mkuu