wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,983
- 4,138
Mbowe ana digirii kama za mwakiembe eee?
Za nini?!Mbowe ana digirii kama za mwakiembe eee?
CCM hakijawahi kukimbiwa!???Wanachama wanakimbia sasa leo meyor wa Arusha amekimbia
Kuna tofauti kati ya kukimbia na kuhama!CCM hakijawahi kukimbiwa!???
Cecil Mwambe anarejea CCM....... Nyumbani kumenoga!Amwachie Cecilia
Mayor Kalist ni mtu mwenye njaa ya madaraka tu, ameona sasa upinzani unapitia wakati mgumu kaamua kukimbia, alitoka TLP baada ya kukosa UENYEKITI, akaokosa UDIWANI, ndio kuingia chadema na kupata, huyu ni upepo wa Lowasa ndio ulimbeba , na ameahidiwa nafasi yake mpaka 2020 ndio maana anasema 'NITAENDELEA KUWATUMIKIA" anajua bado ni diwani. Kalist ni mfanyabiashara hakubali hasara.Wanachama wanakimbia sasa leo meyor wa Arusha amekimbia
Una uhakika mkuu?!Kadri siku zinavyopita napata hisia kwamba Mbowe mwenyewe anao uhusiano na CCM.
Kuna baadhi ya watu wa system ambao ni sehemu ya waliopitia mikononi mwake.
Mleta mada atambue kuwa chama tawala kimeanza kulea wanasiasa wachanga tangu enzi za Mwalimu Nyerere. Wakati huo Mbowe akiwa mwanafunzi wa shule ya msingi.Chadema wachache sisiemu wengi, kati ya mia wa chadema wakitoka 20 itaonekana wengi.
Kati ya milioni 2 wa sisiemu wakitoka laki nane mtaona wachache sababu mmezoea kuwa wako wengi zaidi na wanatakiw watoe wengi.
Pokea kama ulivyoisoma. Huyo Mchange yafuta historia yake.Una uhakika mkuu?!
Hakuna mwanasiasa asiye na njaa bwashee!Mayor Kalist ni mtu mwenye njaa ya madaraka tu, ameona sasa upinzani unapitia wakati mgumu kaamua kukimbia, alitoka TLP baada ya kukosa UENYEKITI, akaokosa UDIWANI, ndio kuingia chadema na kupata, huyu ni upepo wa Lowasa ndio ulimbeba , na ameahidiwa nafasi yake mpaka 2020 ndio maana anasema 'NITAENDELEA KUWATUMIKIA" anajua bado ni diwani. Kalist ni mfanyabiashara hakubali hasara.
Hilo nalielewa mkuu hata mimi nililelewa na Tanu Youth League.Mleta mada atambue kuwa chama tawala kimeanza kulea wanasiasa wachanga tangu enzi za Mwalimu Nyerere. Wakati huo Mbowe akiwa mwanafunzi wa shule ya msingi.
Kihistoria hata Zitto na Paulo hawasomeki siyo Habib tu!Pokea kama ulivyoisoma. Huyo Mchange yafuta historia yake.
Ok, hata mkuu nae ana njaa ya madaraka ndio maana anaua upinzani kwa hofu ya kuharibiwa ulaji wake eeeh?!Hakuna mwanasiasa asiye na njaa bwashee!
Upinzani unajifia wenyewe tusitafute mchawi bwashee!Ok, hata mkuu nae ana njaa ya madaraka ndio maana anaua upinzani kwa hofu ya kuharibiwa ulaji wake eeeh?!
Upinzani unauwawa hilo usilikatae, ndio maana walikatwa wagombea wote serikali za mitaa kwa hofu ya kushindwa... Hapa sihitaji ubishani maana hata mkuu aliapa KUUA UPINZANI.Upinzani unajifia wenyewe tusitafute mchawi bwashee!
Sasa upinzani hauwezi kujitetea Usiuawe?Upinzani unauwawa hilo usilikatae, ndio maana walikatwa wagombea wote serikali za mitaa kwa hofu ya kushindwa... Hapa sihitaji ubishani maana hata mkuu aliapa KUUA UPINZANI.
Utajitetea vipi kama unauwawa binadamu itakuwa chama? Wako wapi wakosoaji wakuu wa serikali ya ccm?! Lisu kanusurika mauaji kisa siasa, acha aue upinzani akidhani ndio atapata amani ya moyo.Sasa upinzani hauwezi kujitetea Usiuawe?
Unamjua Ngamia ndio huu upinzani tulionao bongo!