Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Ndo manaa CCM mliwanunua hao kwa pesa zetu za ndani (kodi)
Wa Kaskazini?Ndo manaa CCM mliwanunua hao kwa pesa zetu za ndani (kodi)
Hao mmewanunuaKuna tofauti kati ya kukimbia na kuhama!
Siwezi kuamini DHAMIRA yako ndani ya thread yako. Umetoa hard facts ambazo zinaqualify kuwa preliminary objections in law, kuwa wametoka upinzani, hard fact, haihitaji evidence. Mengine yanahitaji evidenceMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata kama Freeman Mbowe atastaafu uenyekiti wa Chadema mwezi Desemba mchango wake kwa taifa hili hautasahaulika kwa tunaojua siasa.
Mchango wa Mbowe umejikita katika kuwapika na kuwaandaa vijana kuwa viongozi imara na wa kutegemewa na taifa.
Kwa mfano Naibu mawaziri Juliana Shonza na Mwita Waitara ambao leo ni tegemeo la serikali katika wizara zao ni products za Mbowe.
Turudi kwa Prof Kitila ambaye ni nguzo tunayoitegemea katika sekta ya maji ni zao la Mbowe. Kadhalika Dr Anna Mghwira ambaye ameufanya mkoa wa Kilimanjaro utulie amepita katika mikono ya Freeman.
Turudi kwa yule " mpiga filimbi" wa escrow ambaye CCM inamtegemea huko mkoani Songwe ni zao la Mbowe.
Turudi kwa wapinzani huyu Zitto Kabwe na mwenzie Tundu Antipas Lisu ambao ni maarufu sana kwenye siasa za upinzani wamepitia kwa Freeman.
Na hata yule mwanahabari nguli pale Tanzanite media mh Mchange ni product ya Mbowe
Kwa ufupi ni kwamba Mbowe ameirahisishia sana CCM kiasi kwamba sasa siyo lazima kijana apitie Uvccm ndio aaminike anaweza kuchukuliwa tu direct kutoka Chadema na kukabidhiwa majukumu ya serikali.
Mwita Waitara hakufanya vizuri alipokuwa uvccm lakini alipofika Chadema alibadilishwa na CCM kumtamani na kumchukua.
Hata yule Kibajajji wa Mtera mbinu za kuangusha mbuyu alitokanaxo Chadema kwa Mbowe.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.......Mbowe amekuwa na msaada mkubwa kwa serikali.
Maendeleo hayana vyama!
Mleta mada hamjamjua ana nia gani.
Hawezi kutifundisha umahiri wa mbowe, zaidi ya hayo Mbowe ni mwanasiasa mvumilivu na mwenye busara, Mbowe ni zao la kile kilimo kizuri cha CCM asilia ya Hayati Mwalimu Nyerere.
Mleta mada anafikiria kumsifia leo, ataweza kuleta taharuki ndani ya wana CDM, ili mzozo uanze hapa na watu waseme asiachie kamba.
Sisi wana ccm asilia, tunajua fika kuwa Mbowe ni mtanzania kwanza na CDM hufuatiya.
Chadema wafanye yao bila ya kuongiliwa, tumuombe mola awape busara na hekima, wafanye uchaguzi wa maana, kitakacho endeleza chama chao.
Tanzania inahitaji sana chama cha upinzani makini, chenye busara na chupavu.
Usitake niamini kama ambavyo namba moja wetu kazunguukwa na wachumia tumbo washangiliaji na wasiomshauri vema!?Mbowe ni kiongozi mzuri ila kwa sasa amezungukwa na washauri wabaya
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata kama Freeman Mbowe atastaafu uenyekiti wa Chadema mwezi Desemba mchango wake kwa taifa hili hautasahaulika kwa tunaojua siasa.