Tukubali au tukatae Chadema ya Mbowe ni kiwanda cha kutengeneza wanasiasa makini kazi ambayo UVCCM wamefeli

Ndo manaa CCM mliwanunua hao kwa pesa zetu za ndani (kodi)
 
Siwezi kuamini DHAMIRA yako ndani ya thread yako. Umetoa hard facts ambazo zinaqualify kuwa preliminary objections in law, kuwa wametoka upinzani, hard fact, haihitaji evidence. Mengine yanahitaji evidence
 
Anarudi kuwa Mwenyekiti.
 
Kazi ya Uvccm ni kudanganya miaka ya kuzaliwa
 

Hakika.
Naona huko kigogo anazidi kupagawa naona anatukana tu huko Twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…