Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
MATAGA bado mpo karne ya 12, zama za mawe za kale, huwezi leta hoja ki-MATAGA ikajadiliwa kisomi, neverUmerogwa na uchama Wewe, na iko siku unaweza kuwa kiongozi wa kitaifa na badala ya kutumikia watu na Taifa, ukatumikia Chama, Wakati mwingine usishikwe Sana na mambo ya Chama, jadili hoja!!
Ha ha ha ha a, hii kali hii, kama Ndugai leo kumwonea huruma Mdee aliyevunjwa mkono na Askari magereza, duh, Mungu yupo aisee, shetani huwa anatubu.Mkuu achana na wapambe wa kitu inaitwa chama! Hata m/kiti wa Chama akijiharishia atasema, ni mfumo tu maji ulijichanganya
Na hata Mimi ndio wasiwasi wangu!Hao wakina Mdee wametolewa kafara tu ya kutukanwa na kuonekana wasaliti ila walichokifanya ni mpango wa chama na si kwamba et walikurupuka na tamaa zao tu.
Hahaha!! Na bahati mbaya kabisa Wewe nawe ni kifula mbute Tu mkuMATAGA bado mpo karne ya 12, zama za mawe za kale, huwezi leta hoja ki-MATAGA ikajadiliwa kisomi, never
Mkuu, nimekuelewa Sana bossKabla ya kuangalia detail, ukweli kwamba wanawake vinara 19 katika chama wamekubali kuapishwa kupata ubunge, uliotokana na uchaguzi ambao CHADEMA imesema haiutambui kwa kuwa haukuwa wa huru na haki, unaonesha chama kina matatizo makubwa tu katika kujipanga wote kwenda pamoja.
Ndugu paul, je Ni Nani mwenye jukumu la kushughulikia rushwa hapa nchini? Ni chadema? Na Kama Kuna rushwa maana yake Kuna mtoaji na mchukua rushwa. Kwa hiyo Takukuru Ndio tufanye kazi yake.Tumia Ubongo wako kutawala maamuzi yako mkuu!
Ukiambiwa kuthibitisha sijui utaanzia wapi, Soma Kwanza nilichoandika na uelewe ndipo uniponde
Ni wakati gani unapaswa uthibitishe Jambo bila ya chembe ya Shaka yoyote?
Hoja yako nimeilewa vizuri na sio Chadema tu hata vyama vingine vya upinzani vijifunze kwenye hili suala. Kama hawatabadilisha jinsi ya kupata wawakilishi wa viti maalum basi wataendelea kuchezewa hizi rafu kila uchaguzi.
Mnajua kujitoa ufahamu ninyi, toka lini kiganja cha mwanamme kikawa kwenye mwili wa mwanamke? Kwa akili zako hilo sanduku lina tundu la kuingia hilo fuko? Mjinga gani ataingiza fuko la kaki kwenye transparent ballot box? Mnadanganywa na photoshop mnashupalia shingo?Wangezichanga kivipi, hebu twambie. Unajufanya hukuyaona haya. Wangezichanga vipi, sasa? Ama ulitaka waende msituni?
View attachment 1638526
Daah'!! Umenifumbua macho mkuu,sikuwahigi kuangalia Kwa umakini picha hiyo! Hahaha hahaa!!Mnajua kujitoa ufahamu ninyi, toka lini kiganja cha mwanamme kikawa kwenye mwili wa mwanamke? Kwa akili zako hilo sanduku lina tundu la kuingia hilo fuko? Mjinga gani ataingiza fuko la kaki kwenye transparent ballot box? Mnadanganywa na photoshop mnashupalia shingo?
Kunywa maji kidogo mkuu ili hasira zikuishe then uje kwenye mada mkuu, matusi yanawafaa wajinga pekee!! Nachoamini wewe si hao wajinga!!Hii hoja niya kipumbavu maana hizo documents ni fojari...
Lazima spika awe na namna ya kuverify that nonsense,huwezi apisha sababu kuna mtu kaleta karatasi...
Kuna procedure,kufikia hizo karatasi....nothing was done!
Halafu upo hapa kutetea hoja hii mavi?
Nimefika kwenye neno "LUMANSI" nikaacha kusoma haya mavi...
Mavi matupu na mleta mada ni mavi matupu
Wenye upeo mfupi ni mwiko wao kuona mbaliWewe utakuwa upo ofisi moja na ndugai, Mnachokifany akina mwisho, ukiishi kwa kudhuluma utakufa kwa dhuluma