Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

Mkuuu kuna wengine wamezichora kutokana na matakwa ya kazi wanazofanya hivyo tusiwahukumu wooote tutakuwa tumefanya FALLACY OF GENERALIZATION. Lkn kwa wengineo aina hiyo ya Urembo kwakweli haifai kwa vyovyote.
Kazi zipi hizo zinazowataka kuchora tatoo? Acha kutetea ujinga.

Ukafute hizo tatoo ulizochora makalioni upesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo mengi ya hovyo hovyo yasiyokuwa na maadili na yenye hasara kubwa kwenye jamii yanafanyika kila siku, hamyaoni hayo mnahangaika na tattoos.

Mfano, ushoga, uasherati, uzinzi, zinaa kabla ya ndoa n.k. yote haya ni machafu kuliko hata kuchora tattoos.

YESU KRISTO aliwahi kusema, "mnachuja mbu na kumeza ngamia"
 
Back
Top Bottom