RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
Mkuu ufafanuzi sitatoa but sio kila anae chora tattoo n muhun zingne zmebeba maisha na ndoto za watuIlikuweje ebu fafanua vizur happ kwenye ndoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ufafanuzi sitatoa but sio kila anae chora tattoo n muhun zingne zmebeba maisha na ndoto za watuIlikuweje ebu fafanua vizur happ kwenye ndoto
Ni ishara ya Uhuru uliopitilizaTukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya.
Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa.
Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku ukengeufu na kuzuia watu kutokuchora tattoo. Sio China tu, nchi nyingi sasa zimeshaanza kuona kwamba tattoo ni mwenendo mbaya kwa jamii hivyo kuanza kuzipiga marufuku.
Ukiangalia, huwezi kukuta familia zinazojielewa na zenye heshima katika jamii kama wanasiasa, wafanya biashara wakubwa, wanasayansi, wasomi nk watoto wao ama wao wenyewe wamechora tattoo. Na hata kama ikitokea alichora kwa bahati mbaya akiwa mdogo, lazima utakuta anaificha sana isionekane katika jamii. Sababu ya kufanya hivyo ni moja tu kwamba tattoo ni ishara ya malezi mabaya ama tabia mbaya.
Huku Afrika hasa Tanzania ambako usimamizi wa maadili na mwenendo mwema katika jamii imeachwa kwa mtu binafsi, vijana wengi huona kuchora tattoo ni ufahahari kua kama Messi ama 50 Cents.
Tulinde kizazi chetu cha sasa na cha baade kutoka kwenye uharibifu huu wa Tattoo, tueleze vijana tattoo sio jambo jema na sio ufahari, ni ujinga.
Wewe si ulinikataa?Huzeeki tu bado kisu kina makali kiasi hicho?
Sexual preference.Duuh wakati mimi naona tattoo bora awe nazo mwanaume kuliko mwanamke akiwa nazo mwanamke huwa namuona malaya tu no matter how sexy she looks! Halafu wewe si ndiyo umetoka kuongelea habari za unyago kwenye ule uzi kwahiyo kuchora tattoo nayo inafundishwa kwenye unyago na inafaa siyo?
Wenye tattoo wengi huwa wanakua wild vichwa panzi.Mm binafs niliwai gegeda manza mwenye kuchora tatu. Ya njoka kwenye mgogo wake hakik Yule demu Ni single mam wa kudumu na pia anapenda kufiranaaa Hali ilinifanya niachane naye kwanz hyo tatu chaipenda na pia ananilaumu kwa kuti mfiraa nilishngaa sna
Sipendi mtu yeyote achore tattoo ila naona kulikoni achore mwanamke ni heri achore mwanaume. Na hata ningekuwa mwanaume nisingevutiwa na mwanamke aliyechora tattoo.Sexual preference.
Mimi mwanamme nawapenda wanawake wenye tattoo.
Wewe mwanamke (sina hakika) unapenda wanaume wenye tattoo.
Siku Mwanao mwenye Tatoo atakapo enda kujiunga na majeshi yoyote, iwe Polisi, Magereza, JKT, JW, Uhamiaji Nk.Malezi na tatuu yana mahusiano gani??
Yaani wazazi /walezi wake walikua watu wapumbavu, wenye tabia mbaya, Malaya, wezi, hawana maadili, hawakumkanya wanaye mlea, walevi, wasio na Upendo, wasio na upeo 'Unavyosema malezi mabovu unamaanisha nini?
Niliwaza uko na wanawake wengi wivu wangu naujua siwezi vumilia.Wewe si ulinikataa?
"Jambo jema hubaki jema bila hata km linafanywa na mtu mmoja,na jambo baya hubaki baya hata kama linafanywa na wengi".Aisee huna bahati...kuna wadau humu wanazo hawatakuelewa..ngoja uone utakavyoshambuliwa!
What?Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya.
Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa.
Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku ukengeufu na kuzuia watu kutokuchora tattoo. Sio China tu, nchi nyingi sasa zimeshaanza kuona kwamba tattoo ni mwenendo mbaya kwa jamii hivyo kuanza kuzipiga marufuku.
Ukiangalia, huwezi kukuta familia zinazojielewa na zenye heshima katika jamii kama wanasiasa, wafanya biashara wakubwa, wanasayansi, wasomi nk watoto wao ama wao wenyewe wamechora tattoo. Na hata kama ikitokea alichora kwa bahati mbaya akiwa mdogo, lazima utakuta anaificha sana isionekane katika jamii. Sababu ya kufanya hivyo ni moja tu kwamba tattoo ni ishara ya malezi mabaya ama tabia mbaya.
Huku Afrika hasa Tanzania ambako usimamizi wa maadili na mwenendo mwema katika jamii imeachwa kwa mtu binafsi, vijana wengi huona kuchora tattoo ni ufahahari kua kama Messi ama 50 Cents.
Tulinde kizazi chetu cha sasa na cha baade kutoka kwenye uharibifu huu wa Tattoo, tueleze vijana tattoo sio jambo jema na sio ufahari, ni ujinga.
Upo 100% correct. Halafu wengi wenye tatoo (hapa kwetu Tanzania na nchi za Afrika) maisha yao ni dhiki na wamepigika. Ila hiyo wanafanya ni kama back up ya covering their life class/status.Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya.