Kuna mambo mengi ya hovyo hovyo yasiyokuwa na maadili na yenye hasara kubwa kwenye jamii yanafanyika kila siku, hamyaoni hayo mnahangaika na tattoos.
Mfano, ushoga, uasherati, uzinzi, zinaa kabla ya ndoa n.k. yote haya ni machafu kuliko hata kuchora tattoos.
YESU KRISTO aliwahi kusema, "mnachuja mbu na kumeza ngamia"