Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

Tattoo = Hina.
Zote ni lengo lake ni moja.

Binafsi mwanamke anayefanya kati ya haya hafai kuwa hata mke.
Kuna mdau hapa jamvini aliwahi kusema ukiona mwanamke wa aina hii jua anafanya au yuko tayari kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Kwa mwanaume ni ishara ya kutumia mibangi/ madawa ya kulevya.
 
Usifananishe hennaa na vitu vya kijinga pls
 
Ila watu wengi waliochora hizo tattoo huwa Wana tabia mbovu sana hata kwa jamii na huharibikiwa akili, na hata wengi huumwa na kushauriwa watoe hizo tattoo maana Zina mapepo mengi
Nilikutana na kamchepuko kana tatoo chini ya kitovu. Kimejiandika "I love you Robert" Naishukuru sana ile tatoo maana iliniepusha na dhambi ya uzinzi. Abdallah kichwa wazi alinywea kama jongoo...

Popote ulipo Robert, napenda kukufahamisha demu wako sio mwaminifu.
 
Ni Imani tu hakuna ukweli wowote.

Kuna waliochora hizo tattoo na ni watu wastaarabu tu.

Tupunguze kukalili.
 
Yes, Mtanzania lakini, Kwa Wazungu nakataa
 
Ila watu wengi waliochora hizo tattoo huwa Wana tabia mbovu sana hata kwa jamii na huharibikiwa akili, na hata wengi huumwa na kushauriwa watoe hizo tattoo maana Zina mapepo mengi
Watu wengi? Wangapi?
Ila watu wengi waliochora hizo tattoo huwa Wana tabia mbovu sana hata kwa jamii na huharibikiwa akili, na hata wengi huumwa na kushauriwa watoe hizo tattoo maana Zina mapepo mengi
Watu wengi? Wangapi?

Punguza kuongea kitu usichokijua, unaongea kwa mihemko tu.

Mapepo unayajua? Au sababu umekutana na vichaa wavuta bangi uko mtaani Basi unadhani Kila mchora tattoo yupo hivyo?
 
Noma sna [emoji28][emoji28]
 
Mimi binafsi siwezi kujichora ila siwezi hukumu mtu aliyejichora tattoos Kila mtu afanye linalo mpendeza machoni mwake na kumfurahisha ndani ya nafsi yake kama tu alita athiri wengine kimwili, na kiakili
 
... ha ha ha! "Umeisoma" tatoo chini ya kitovu halafu bado hujazini? Amtazamye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni.
 
... ha ha ha! "Umeisoma" tatoo chini ya kitovu halafu bado hujazini? Amtazamye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni.
Mbona tunatishana tena arifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…